Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Haa elimu ya msingi ile ya st kayumba hapo tunatoka kapa. Maana unakuta wapo wenye nia ila lugha hata kama kaielewa anaingia mitini shida ya nn
Numbisa, logic ya kuandika hivyo ni fupi tu.
Kama Mtanzania, naamini elimu ya msingi wote wanaoingia humu wamepitia. Basi kama ni hivyo ni rahisi kuelewa nilichoandika (tena nimejitahidi kutumia lugha nyepesi kabisa).