Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Kuvua nguo ndo mpango mzima.
Unataka atunyime nini? :yuck:
Halafu nina kesi na wewe ila ngoja kwanza nimtafute Excel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvua nguo ndo mpango mzima.
Unataka atunyime nini? :yuck:
Mmmhh!!
Nimekumithiii mingi sanaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Lunch wapi mama leo pale pa siku zote nimechoka sema tuende wapi tukapate chakula muruaAhaa!! Basi sawa baba
Ngoja kwanza aje ndo nianze kumwaga mchele hapa kwenye kuku wengi
Nini tena mamie!
Hebu ajitokeze binti mmoja kwaajili ya baba paroko tafadhali!
Uliishia wapi na yule binti aliejitokeza ku show lv kwako?
Kwa hiyo kila msichana wewe unamvulia nguo jamani khaaa!!!
gudiiii
nilikuwa kule udzungwa
Yupi huyo?
Bahati mbaya jina lake gumu km mwarobain
Hivi lile ombi langu unalifikiria au?