Valentine...Kazi ni kwako

Valentine...Kazi ni kwako

Hongera Sana na jje's.. Sipati picha hilo lizawadi la valentine si kwa show off hii mweh!
nitakuonyesha PM usijali maana ulivyo na hamu ya kulionaaaa, ila ukipofuka macho poleee yako bibie maana nitakuonyesha ukweli.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hadi umchune mbona utabambwa!! We jipikie tu supu yako.
Nimezoea kufuata mbuzi zizini. Huyu wa kujileta buchani mmmh anataka kuwahi siti mbinguni au! !!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
VALENTINE is around the corner! Give different presents to your loved ones, such as mobile phones,cars & property( land, houses, money and others)
Nafasi ni hii acha kuzubaa changamkia fursa
Thubutu na hakika utaweza

KWA HISANI YA VODACOM
Ni hayo tu kwaleo
safari hii, mmetukosa, kipindi cha magu hichi! tutawaletea matunda kama ndizi,apple (sio simu,usininukuu vibaya),nanasi,tikiti litahusika maana langi yake itaendana na tukio lenyewe!! na surprise zingine kama zitakuwepo!!!!! naomba mjiandae mapema!! naona mnaaza kujipromote mapema! smart phone mtazisikia karia koo!
 
Kaweka nyumba na kiinua mgongo bondi. Urithi katuachia michepuko yake. Nikakuangukia wewe [emoji13][emoji13]
Hebu niambie kwanza ilikuwaje hadi mkanigawana?
 
VALENTINE is around the corner! Give different presents to your loved ones, such as mobile phones,cars & property( land, houses, money and others)
Nafasi ni hii acha kuzubaa changamkia fursa
Thubutu na hakika utaweza

KWA HISANI YA VODACOM
Ni hayo tu kwaleo
Bora mie single.kuhonga kumenipitia mbali.
 
Sasa huo tuite wivu au kijihami maana anajijua yeye alivyo na makandokando.
Mi hapo wivu wanini sasa Nimemwita kiroho safiiiiiii aje ajionee mwenyewe vya kusimuliwa havinogi
 
Back
Top Bottom