jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
hahahahahhaha, sikujua mnanizungumzia mimi jamani.Jj hajambo kwakweli.
mimi wangu ni stunter bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahhaha, sikujua mnanizungumzia mimi jamani.Jj hajambo kwakweli.
Tehteh namrushia sufuriani bila kumchuna..Uwiii mbuzi kafia kwa muuza supu.
nishaona mmeshakutana hapa unanizuga tu.
yangu machoooo, huo ubodigadi utanishinda kama mnaanza kuteteana mapema hii.
The Case: Daby Vs jje's closed.
hahahahahahaha ina maana utaniletea mrejesho kabisa?Andaa na maskio ya mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]hahahahahahaha ina maana utaniletea mrejesho kabisa?
uwiiii, unamwitaje mpenzi wangu bestito? au nimebugi kwa kusoma vibayaMake bestio nae ni mwingi wa nyuzi lol! Naona saivi yupo likizo akirudi Hapa ni full masredi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tehteh namrushia sufuriani bila kumchuna..
Hiyo subiri siku ya ibada.Vipi kuhusu kutoa BIBLE?
waooooo, i like itSikuwezi lol! Na nimesalute