Yaani uchonganishe mwenyewe alafu unisingizie!!acha uchonganishi, tulikuwa tunatafuta mchonganishi wa penzi letu kumbe ni weweeeee
Nimezoea kufuata mbuzi zizini. Huyu wa kujileta buchani mmmh anataka kuwahi siti mbinguni au! !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hadi umchune mbona utabambwa!! We jipikie tu supu yako.
safari hii, mmetukosa, kipindi cha magu hichi! tutawaletea matunda kama ndizi,apple (sio simu,usininukuu vibaya),nanasi,tikiti litahusika maana langi yake itaendana na tukio lenyewe!! na surprise zingine kama zitakuwepo!!!!! naomba mjiandae mapema!! naona mnaaza kujipromote mapema! smart phone mtazisikia karia koo!VALENTINE is around the corner! Give different presents to your loved ones, such as mobile phones,cars & property( land, houses, money and others)
Nafasi ni hii acha kuzubaa changamkia fursa
Thubutu na hakika utaweza
KWA HISANI YA VODACOM
Ni hayo tu kwaleo
Hebu niambie kwanza ilikuwaje hadi mkanigawana?Kaweka nyumba na kiinua mgongo bondi. Urithi katuachia michepuko yake. Nikakuangukia wewe [emoji13][emoji13]
Bora mie single.kuhonga kumenipitia mbali.VALENTINE is around the corner! Give different presents to your loved ones, such as mobile phones,cars & property( land, houses, money and others)
Nafasi ni hii acha kuzubaa changamkia fursa
Thubutu na hakika utaweza
KWA HISANI YA VODACOM
Ni hayo tu kwaleo
Shaurilo!! We mpike supu tu ila ukikamatwa sie hatumoooo!!Nimezoea kufuata mbuzi zizini. Huyu wa kujileta buchani mmmh anataka kuwahi siti mbinguni au! !!![emoji23][emoji23][emoji23]
We sio mzimaKuna zawadi za kutosha kama gari simu kali nyumba mapema n.k fanya jitihada umnunulie umpendae
Urithi....Hebu niambie kwanza ilikuwaje hadi mkanigawana?
Sikumaanisha wivu kwako bali jjMi hapo wivu wanini sasa Nimemwita kiroho safiiiiiii aje ajionee mwenyewe vya kusimuliwa havinogi
Uwiiii!! Kwahiyo wewe ukaambiwa unirithi!! Pesa unazo lakini?Urithi....