Daby unesemaje? Nani mchepuko kwa mfano. Nitake radhi kwa maandishiKaweka nyumba na kiinua mgongo bondi. Urithi katuachia michepuko yake. Nikakuangukia wewe [emoji13][emoji13]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We sio mzima
Chezea kuchapiwa!!Namuona anavopita kimya kimya hata salamu inagomba lol
Ndiyo maana nikakuwahi kwenye urithishwaji.Uwiiii!! Kwahiyo wewe ukaambiwa unirithi!! Pesa unazo lakini?
Hehehe...angalia kazawadi ka radhi pmDaby unesemaje? Nani mchepuko kwa mfano. Nitake radhi kwa maandishi
Nyingiii kuwazidi wenzio wote.Ndiyo maana nikakuwahi kwenye urithishwaji.
Shingapiiii lakini vile! !
Acheni fitina jaman[emoji38]
HahahhahahahahaYaani uchonganishe mwenyewe alafu unisingizie!!
Usihofu my loveEagerly waiting
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamaanisha tuwahonge Gari zile za TOYS au hizi za ukweli ukweli??