Valentine...Kazi ni kwako

hahahahaha utakuja kusema me three sasa hivi, hili jina la pili umelichunguzaaaaaaaaa
Liwalo na liwe bhna...fisi alifia mifupani. Ngoja na mimi nifie lumumba umeona nguo zake ni kada wa chama tawala [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Liwalo na liwe bhna...fisi alifia mifupani. Ngoja na mimi nifie lumumba umeona nguo zake ni kada wa chama tawala [emoji23][emoji23][emoji23]
sasa wewe kwani huhitaji bodigadi mkuu?

najitolea tu bure.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uwiii hapana mate, labda nisubirie mie niletewe sio nitoe maana nitafwariki.
Teh kwahiyo unaprove kwamba wanawake mpaka tuwezeshwe ndo tunaweza!!???????!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…