Valentine...Kazi ni kwako

Valentine...Kazi ni kwako

Give different presents PICTURES to your loved ones, such as mobile phones,cars & property( land, houses, money and others)
Hii kwa hisan ya Central.
Picha zanini?? Kila siku anakuona haina haja ya picha.. Au unamaanisha picha gani labda??
 
255586.jpg
mkuu ni wewe huyu ? jibu fasta nije pm nimekuzimikia
 
The Bold au yule mwenyewe kabsa ambae ni anonymous humu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nasubiria kupewa zawadi ila eti sijawaza kutoa zawadi huu ni zaidi ya ubinafsi ha haha mbaya zaidi naona napewa vipesa pesa ngoja leo nimuombe pesa anipe nitamnunulia zawadi kupitia pesa yake
 
Back
Top Bottom