Valentine na Live Band 🔥

Valentine na Live Band 🔥

Valentine Wangu ni K-vant na Live band! Nimewaambia room Yangu iwe Wazi kabisa nikitoka hapa straight to my room. Nakoroma weee Hadi Kesho saa nne. Sina stress ya kulala na mtoto wa MTU
Sababu ni kusitishwa kwa misaada au ni nini?
 
Band imenoga hatari 😜 sijui niwaoneshe ninavyocheza
 
Njiwa peleka salamu kibao ndo kinapigwa now, nyie nyie 😜
 
Back
Top Bottom