Valentine na Live Band 🔥

Valentine na Live Band 🔥

Nimetuma wakusalimie,

Barua pia nimetuma usome,

Nikiwa nikitembea aah, mara kwa mara hukumbuka mapenzi yetu vipi Marina,

Mapenzi sio kitu kipya duniani yalianza na Adamu na Hawa eeh

Mapenzi ya simu sitaweza,

Kama hunipendi uniambie,

Mimi ni bado ni murembo sita ngoja,

Mapenzi haichagui kabila,

Siku hz muzungu, muchaina ,

Huwowana,

Japanese, muafrika vile vile, mie Marina,

ephen_ Leejay49 Nyamwi cocastic
 
Malaika nakupenda malaika.....

Malaika nakupenda malaika

Ningekuoaa dadaah

Ningekuoaa mpenzi

Nashindwa na Mali sina eeeh

Ningekuoaa malaika!

Malaika nakupenda malaika

Nifanye nn Mimi

Kijana mwenzio oooh!!


Nashindwa na Mali sina eeeh...

Ningekuoaa malaika!

Dedication to couples, marriages, soulmates! Valentine ni kila siku na sio Jana!
 
Unihurumie nihurumie,

Nakulilia uniitee,

Unipeleeke kwa baba,

Atatupatia Mali,

Tufunge ooh ndoa ya lote,

Mpenzi ooh Mimi na wewe

Usinitese moyoni,

Naomba ooh usinitese,

Nakulilia uniitee

Unipeleeke kwa baba

Atatupatia Mali.....

Tufunge ooh ndoa ya lote.....
 
Afro ooh ......

Afro mama ooh......

Mtoto wa sagane.......

Salamu zangu ninakutumia popote ulipo zipokee........

Wasalimie ndugu, na wazazi wako mama eeh popote walipo Afro!

Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni.......

Nikikumbuka tulivyo achana mara ya mwisho uliniahidi Afro!

Tungeonana mapema bibiye 😍..


This song to Qashy Lilith
😂Hukutuma maua jmni Monetary doctor
 
Hakika imeenda vizuri sana na nimefurahia 😊.

Kwako imeendaje hii siku?
Hakuna hata alie ni wish!, jana nimekaa kama mjusi kazi yangu ilikuwa kukimbia mtu yoyote alievaa nguo nyekundu!
 
Back
Top Bottom