Valentine sio siku ya wanawake ni siku ya wapendanao. Kama wewe dada hauwezi kumtafutia mpenzi wako zawadi ni aibu kutegemea kuletewa

WEEEEE JAMAAA FALA SANA....NIMECHEKA KWA SAUTI KAMA NINA WAZIMU. HII AKILI UNAITOA WAPI?🤣🤣🤣🤣
 
Kwa nini machozi yasikutoke. Wee mwanamke akuoe zawsdi ya gari sii mchezo....kitu nadra sana hasa wana kenge wa bongo
Mwanamke hajawahi kuwa na hela sasa gari tutanunua na nini?
 
Nonsensical, haijalishi you scumbag
 
😂😂😂😂
 
Sasa kama hamna hela mbona mnaleta nyodo ya kuzisaka? Sii mtulie sie vidume tuwe tunawapea mkiwa ndani manyumbani
Mwanamke anatafuta hela ya kwake yeye kama yeye ila hela ya kumpa mwanaume ndio hana 😂😂
 
Mwanamke anatafuta hela ya kwake yeye kama yeye ila hela ya kumpa mwanaume ndio hana 😂😂
Basi hamna faida ya kuwa na mke kama mwanamke mwenyewe anajiwazia yeye na wakati maanadiko yanasema wawili wakiungana wanakuwa kitu kimoja.
Vipi ulishapokea zawadi toka kwa andunje ?
 
Waambie hao vibaka wabadilike.Kuna mmoja hapa pamoja na kuishi wote miaka zaidi ya 15 anadai zawadi tu.Nimemwambia ajiandae jioni tunaenda dinner Gaza kule Palestina.
 
Basi hamna faida ya kuwa na mke kama mwanamke mwenyewe anajiwazia yeye na wakati maanadiko yanasema wawili wakiungana wanakuwa kitu kimoja.
Vipi ulishapokea zawadi toka kwa andunje ?
Zawadi bado sijapata.
 
H
Ee yamenipata. Nimewaandikia marafiki happy valentine sasa wanadai valentine yao. Nimekoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…