Valentine sio siku ya wanawake ni siku ya wapendanao. Kama wewe dada hauwezi kumtafutia mpenzi wako zawadi ni aibu kutegemea kuletewa

Nyie wanawake mnahangaika na hii siku. Sisi wanaume hata hatukuwa tunajua. Mi ndo nasoma uzi wako huu nakumbuka. Mara demu wangu naye kanitumia msg ya happy V day. Nikasema nyie mnaji shughulisha sana. Hasa nyie wa nyumbani. We ndo umeona uje anzisha uzi kabisa kutukumbusha....😁
WEEEEE JAMAAA FALA SANA....NIMECHEKA KWA SAUTI KAMA NINA WAZIMU. HII AKILI UNAITOA WAPI?🤣🤣🤣🤣
 
Kwa nini machozi yasikutoke. Wee mwanamke akuoe zawsdi ya gari sii mchezo....kitu nadra sana hasa wana kenge wa bongo
Mwanamke hajawahi kuwa na hela sasa gari tutanunua na nini?
 
Ujinga..... Fatuma kanitafuta asubuhi hii anafaka kujua leo nitarudi home saa ngapi. Anataka aniletee zawadi ya Valentine mimi hata sikuwa na wazo. Wanawake wanaikumbuka sana. Na kila baada ya muda ananipigia kujua nipo wapi na nani... Wanawake....ni sheeeeeeedahhh.
Nonsensical, haijalishi you scumbag
 
Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Dont make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali

Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote ananuniwa wiki nzima.

Yani nyie ni kupokea kupokea kupokea tu siku 364,

When will you be responsible katika mapenzi, mwanamke huwa anaweka hisia zake kuwa very special katika dunia ya fikra zake huku mwanaume akimueka pembeni.

Aya leteni matusi ya "TAFUTA HELA WEWE"
😂😂😂😂
 
Sasa kama hamna hela mbona mnaleta nyodo ya kuzisaka? Sii mtulie sie vidume tuwe tunawapea mkiwa ndani manyumbani
Mwanamke anatafuta hela ya kwake yeye kama yeye ila hela ya kumpa mwanaume ndio hana 😂😂
 
Basi hamna faida ya kuwa na mke kama mwanamke mwenyewe anajiwazia yeye na wakati maanadiko yanasema wawili wakiungana wanakuwa kitu kimoja.
Vipi ulishapokea zawadi toka kwa andunje ?
 
Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Dont make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali

Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote ananuniwa wiki nzima.

Yani nyie ni kupokea kupokea kupokea tu siku 364,

When will you be responsible katika mapenzi, mwanamke huwa anaweka hisia zake kuwa very special katika dunia ya fikra zake huku mwanaume akimueka pembeni.

Aya leteni matusi ya "TAFUTA HELA WEWE"
Waambie hao vibaka wabadilike.Kuna mmoja hapa pamoja na kuishi wote miaka zaidi ya 15 anadai zawadi tu.Nimemwambia ajiandae jioni tunaenda dinner Gaza kule Palestina.
 
Basi hamna faida ya kuwa na mke kama mwanamke mwenyewe anajiwazia yeye na wakati maanadiko yanasema wawili wakiungana wanakuwa kitu kimoja.
Vipi ulishapokea zawadi toka kwa andunje ?
Zawadi bado sijapata.
 
H
Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Dont make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali

Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote ananuniwa wiki nzima.

Yani nyie ni kupokea kupokea kupokea tu siku 364,

When will you be responsible katika mapenzi, mwanamke huwa anaweka hisia zake kuwa very special katika dunia ya fikra zake huku mwanaume akimueka pembeni.

Aya leteni matusi ya "TAFUTA HELA WEWE"
Ee yamenipata. Nimewaandikia marafiki happy valentine sasa wanadai valentine yao. Nimekoma
 
Back
Top Bottom