Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahanIlikuwa nataka nikanunue kagauni kazuri kwa ajili ya mchepuko wangu baada ya kusoma huu uzi nimeghairi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahanIlikuwa nataka nikanunue kagauni kazuri kwa ajili ya mchepuko wangu baada ya kusoma huu uzi nimeghairi
WEEEEE JAMAAA FALA SANA....NIMECHEKA KWA SAUTI KAMA NINA WAZIMU. HII AKILI UNAITOA WAPI?🤣🤣🤣🤣Nyie wanawake mnahangaika na hii siku. Sisi wanaume hata hatukuwa tunajua. Mi ndo nasoma uzi wako huu nakumbuka. Mara demu wangu naye kanitumia msg ya happy V day. Nikasema nyie mnaji shughulisha sana. Hasa nyie wa nyumbani. We ndo umeona uje anzisha uzi kabisa kutukumbusha....😁
Ujinga..... Fatuma kanitafuta asubuhi hii anafaka kujua leo nitarudi home saa ngapi. Anataka aniletee zawadi ya Valentine mimi hata sikuwa na wazo. Wanawake wanaikumbuka sana. Na kila baada ya muda ananipigia kujua nipo wapi na nani... Wanawake....ni sheeeeeeedahhh.
Mwanamke hajawahi kuwa na hela sasa gari tutanunua na nini?Kwa nini machozi yasikutoke. Wee mwanamke akuoe zawsdi ya gari sii mchezo....kitu nadra sana hasa wana kenge wa bongo
Bora hata hao wanaotoa vest me sijawahi toa hata kalamu.ukiishi na ke jifanye mjinga tu
hata akisema akupe zawadi atakupa boxer tu na vest😅
Jitahidi utoe kidogo kidogo...Bora hata hao wanaotoa vest me sijawahi toa hata kalamu.
Vest na socksJitahidi utoe kidogo kidogo...
Anza na mimi.
Nonsensical, haijalishi you scumbagUjinga..... Fatuma kanitafuta asubuhi hii anafaka kujua leo nitarudi home saa ngapi. Anataka aniletee zawadi ya Valentine mimi hata sikuwa na wazo. Wanawake wanaikumbuka sana. Na kila baada ya muda ananipigia kujua nipo wapi na nani... Wanawake....ni sheeeeeeedahhh.
Wanawake hampendani sijui kwa nini?Nonsensical, haijalishi you scumbag
Sasa kama hamna hela mbona mnaleta nyodo ya kuzisaka? Sii mtulie sie vidume tuwe tunawapea mkiwa ndani manyumbaniMwanamke hajawahi kuwa na hela sasa gari tutanunua na nini?
😂😂😂😂Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Dont make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali
Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote ananuniwa wiki nzima.
Yani nyie ni kupokea kupokea kupokea tu siku 364,
When will you be responsible katika mapenzi, mwanamke huwa anaweka hisia zake kuwa very special katika dunia ya fikra zake huku mwanaume akimueka pembeni.
Aya leteni matusi ya "TAFUTA HELA WEWE"
Mwanamke anatafuta hela ya kwake yeye kama yeye ila hela ya kumpa mwanaume ndio hana 😂😂Sasa kama hamna hela mbona mnaleta nyodo ya kuzisaka? Sii mtulie sie vidume tuwe tunawapea mkiwa ndani manyumbani
Basi hamna faida ya kuwa na mke kama mwanamke mwenyewe anajiwazia yeye na wakati maanadiko yanasema wawili wakiungana wanakuwa kitu kimoja.Mwanamke anatafuta hela ya kwake yeye kama yeye ila hela ya kumpa mwanaume ndio hana 😂😂
Waambie hao vibaka wabadilike.Kuna mmoja hapa pamoja na kuishi wote miaka zaidi ya 15 anadai zawadi tu.Nimemwambia ajiandae jioni tunaenda dinner Gaza kule Palestina.Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Dont make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali
Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote ananuniwa wiki nzima.
Yani nyie ni kupokea kupokea kupokea tu siku 364,
When will you be responsible katika mapenzi, mwanamke huwa anaweka hisia zake kuwa very special katika dunia ya fikra zake huku mwanaume akimueka pembeni.
Aya leteni matusi ya "TAFUTA HELA WEWE"
Zawadi bado sijapata.Basi hamna faida ya kuwa na mke kama mwanamke mwenyewe anajiwazia yeye na wakati maanadiko yanasema wawili wakiungana wanakuwa kitu kimoja.
Vipi ulishapokea zawadi toka kwa andunje ?
🤣🤣🤣🤣 PoleeeZawadi bado sijapata.
Ee yamenipata. Nimewaandikia marafiki happy valentine sasa wanadai valentine yao. NimekomaSiku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Dont make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali
Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote ananuniwa wiki nzima.
Yani nyie ni kupokea kupokea kupokea tu siku 364,
When will you be responsible katika mapenzi, mwanamke huwa anaweka hisia zake kuwa very special katika dunia ya fikra zake huku mwanaume akimueka pembeni.
Aya leteni matusi ya "TAFUTA HELA WEWE"
Ndo ujinga wenu, mnataka kufanya kuwa ni siku ya kuomba hela badala ya kuwa siku ya wàpendanao.of course tafuta hela wewe.
Ya nini sasa?🤣🤣🤣🤣 Poleee