Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
hivi nyie mbona mnapenda wanaume above 35 years of age...!!kwa hiyo sie wenye 26+ tupambane na hali zetu!!Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.
NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo course we need to be unique.
hivi nyie mbona mnapenda wanaume above 35 years of age...!!kwa hiyo sie wenye 26+ tupambane na hali zetu!!
Naomba nikupe hiyo offerKila la kheri
Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa siku moja. Mmh.
dah!! lakini kweli!!!haya dia valentine njema!!Nyie ndo mnaanza maisha 11mil unatamani kujinyea ukiifikiria kutoa.
Je tutatumia kinga au kavu kavu?
Hapa Shoga angu Labda wale wastaafu wenye pensheni zao.Shost waache wajikamue mwanaume huwa hashindwi.
afadhali umeliona hilo dadaShoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
You are smart!Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Hapa Shoga angu Labda wale wastaafu wenye pensheni zao.
Ila huwa nawakubali wapo baadhi wenye pesa zao huenda ukabahatika mwaya.
Mjini ni kuwa tu mwangalifu carba...Naomba nikupe hiyo offer
Bamtu batarokota benyewe kunyaku""""""
Kama uko tayari twende Gamboshi inn kila kitty ntagharamia