[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na hamnipati kabisa...looh sio kwa bango hili tulokushikia leo[emoji23] [emoji23]
Hivi vigezo ni "Critical But Stable"Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.
NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
tutakupata tu subirNa hamnipati kabisa...
Ndege mjanja hanasi kwenye tundu bovu..[emoji85] [emoji85]tutakupata tu subir
siku yak bado tuNdege mjanja hanasi kwenye tundu bovu..[emoji85] [emoji85]
Hahahahaaa...siku yak bado tu
Hahahamalizia basi nisikie raha jamani[emoji85] [emoji85] [emoji125]
Hapanaa jirani... Mie nimekukumbusha tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe na wewe ni kizazi cha Anna...
SawaHapanaa jirani... Mie nimekukumbusha tuu
Watoto hela hawana alafu si kama nawabemenda au zarimond ndio habari ya mujini kwa sasa?Khaaaa..
Hapo mwisho nimerudia mara mbili... Uko serious au??? Miaka ulotaja ni watu wenye familia tayari!!! Hebu hurumia watoto wa mwanamke mwenzio jamani!!!! Juzi tuu ndo tumeimaliza January kwa mbinde!!
Hao wazee washawahiwa ujue, watoto ndo kwanzaaa wanazisaka dau limekuwa kiama hiloWatoto hela hawana alafu si kama nawabemenda au zarimond ndio habari ya mujini kwa sasa?
usiogope sawaHahaha
Naogopa ban
Afu siku nyingi sijamuonaaausiogope sawa
hahaha hawez kuja hukuKichwa Kichafu usiniambie huu uzi hujauona eti.
Njoo uchangamkie fursa bhana
Wanaume wa jeiefu leo wanajifanya hawaoni huu uzi[emoji23][emoji23]hahaha hawez kuja huku