Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.

NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Hivi vigezo ni "Critical But Stable"
 
Khaaaa..
Hapo mwisho nimerudia mara mbili... Uko serious au??? Miaka ulotaja ni watu wenye familia tayari!!! Hebu hurumia watoto wa mwanamke mwenzio jamani!!!! Juzi tuu ndo tumeimaliza January kwa mbinde!!
Watoto hela hawana alafu si kama nawabemenda au zarimond ndio habari ya mujini kwa sasa?
 
WANAUME NAWAASA TENA OGOPENI MNO WANAWAKE MASKINI, MWANAMKE WA DIZAINI HII NI MASKINI, WAOGOPE KAMA UKOMA!
 
Back
Top Bottom