Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ukirudi unipe maelezo ya kutoshaHuu uzi hawawezi kuja kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukirudi unipe maelezo ya kutoshaHuu uzi hawawezi kuja kabisaa
Ili aweze kufanikiwa jambo lake kama anavyotarajiaNdugu yangu naona Unampa kilavlq kheri nyingi
Hahaaa tupo best, sema ndo hivo kuspend kiasi chote hicho kwa ajili ya naniliu tu ni ujinga wa karne
Sijakuchomekea best bana nimekupa hongera kutokana na ulichokiandika hapo juu best. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaaa ila best kwa kuchomekea hujambo, sasa hongera ya nini[emoji87] [emoji87]
ahahahaa kinomaaHuyu ndio wale wanawake wanaotikisa makalio kwenye madala dala na tarumbeta zao.
Wanakera sana
mtag aseeHuyu kapata mwanamme kamhonga smart phone basi anasumbua kweli.
Ila ni mvaa dera huyu na kandambili au peku peku
Hahaa. Ndio hivyo best.Khaaa kumbeee, basi nafuta kauli best, mwenzio nilijua 1.2m, teh!!
Hahaaa haya bana, kumbe ulirekodi kabisaaa[emoji87] [emoji87][emoji115] [emoji115] [emoji115]
Sijakuchomekea best bana nimekupa hongera kutokana na ulichokiandika hapo juu best. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mmh hapo maji marefu ndg yangu, teh!Hahaa. Ndio hivyo best.
Hahaaa. Haina neno ila hata kama unazo best sio kutumia pesa nyingi kiasi hicho aiseee tena kwa mara moja.Hahaaa haya bana, kumbe ulirekodi kabisaaa[emoji87] [emoji87]
ila si nimeishaifuta hiyo kauli best
Ungelipia 100% ningesema neno...Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.
NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Yaani. Wacha kabisa best.Mmh hapo maji marefu ndg yangu, teh!
Umeona eehHahaaa. Haina neno ila hata kama unazo best sio kutumia pesa nyingi kiasi hicho aiseee tena kwa mara moja.
Kumekucha salama kabisa best, sema tunalia tu madeni yetu hewa kumbe[emoji4] [emoji4]Yaani. Wacha kabisa best.
Vp lakini best huko kumekucha salama?
Nafurahi kusikia hivyo best.Kumekucha salama kabisa best, sema tunalia tu madeni yetu hewa kumbe[emoji4] [emoji4]
Vipi best wewe hujapata unitoe kidogo[emoji87] [emoji87]
Ningekuwa nayo hiyo mkuu,ninheomba tutoke wote aisee..Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Hahaaa. Ila Emmy Mchumi. Asingekubali hela kiasi kikubwa hivyo mkiteketeze kwa wakati mmoja.Ningekuwa nayo hiyo mkuu,ninheomba tutoke wote aisee..
Hahaha,that's why nakukubali aisee...u r one in a million,Hahaaa. Ila Emmy Mchumi. Asingekubali hela kiasi kikubwa hivyo mkiteketeze kwa wakati mmoja.
Sijakuona kitambo. Kulikoni Mkuu kwema huko?
Hahaaaa. Haya bana Shukrani. [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahaha,that's why nakukubali aisee...u r one in a million,
Nipo siunajua mapambano tu mjini,nilikumis