Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Hahaaa tupo best, sema ndo hivo kuspend kiasi chote hicho kwa ajili ya naniliu tu ni ujinga wa karne

[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Hahaaa ila best kwa kuchomekea hujambo, sasa hongera ya nini[emoji87] [emoji87]
Sijakuchomekea best bana nimekupa hongera kutokana na ulichokiandika hapo juu best. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sijakuchomekea best bana nimekupa hongera kutokana na ulichokiandika hapo juu best. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaa haya bana, kumbe ulirekodi kabisaaa[emoji87] [emoji87]
ila si nimeishaifuta hiyo kauli best
 
Ungelipia 100% ningesema neno...
 
Kwasiku Moja Tu 11M ili Hali ninaakili, NAFIKIRI mume mwema atafikiri kwenda kusaidia watoto yatima hapo valentine ingependeza zaidi.

Inasikitisha mwanamke ambaye ndiye mzaa Kwa uchungu afikirie anasa Kwanza huku anazungukwa na wenye uhitaji maelfu kwenye ukoo wake na koo za marafiki zake, shame!

Ninazo Ila sijawah fikiria anasa ya kiivyo
 
Yaani. Wacha kabisa best.

Vp lakini best huko kumekucha salama?
Kumekucha salama kabisa best, sema tunalia tu madeni yetu hewa kumbe[emoji4] [emoji4]

Vipi best wewe hujapata unitoe kidogo[emoji87] [emoji87]
 
Kumekucha salama kabisa best, sema tunalia tu madeni yetu hewa kumbe[emoji4] [emoji4]

Vipi best wewe hujapata unitoe kidogo[emoji87] [emoji87]
Nafurahi kusikia hivyo best.

Hapana best sijapata bado. Kilichobaki ni kupambana tu na hali zetu sababu imeshakuwa kama hadithi sasa.
 
Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.

Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Ningekuwa nayo hiyo mkuu,ninheomba tutoke wote aisee..
 
Hahaaa. Ila Emmy Mchumi. Asingekubali hela kiasi kikubwa hivyo mkiteketeze kwa wakati mmoja.


Sijakuona kitambo. Kulikoni Mkuu kwema huko?
Hahaha,that's why nakukubali aisee...u r one in a million,

Nipo siunajua mapambano tu mjini,nilikumis
 
Hahaha,that's why nakukubali aisee...u r one in a million,

Nipo siunajua mapambano tu mjini,nilikumis
Hahaaaa. Haya bana Shukrani. [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Pole sana na hongera pia sababu hiyo ndio dawa ya kwenda sawa na maisha yanavyotaka yaani kupambana ndio kila kitu aiseee.

Nami pia Mkuu. Nafurahi kukuona tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…