Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Hahaaaa. Haya bana Shukrani. [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Pole sana na hongera pia sababu hiyo ndio dawa ya kwenda sawa na maisha yanavyotaka yaani kupambana ndio kila kitu aiseee.

Nami pia Mkuu. Nafurahi kukuona tena.
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] ndo hivyo mkuu no way out..ni kupambana tu.

This valentine naomba nikutafute[emoji5] [emoji5]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaa. Mie nilishangaa nikapita kimya kimya naona best umeshindwa kujizuia lol.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahaaaa. Mie nilishangaa nikapita kimya kimya naona best umeshindwa kujizuia lol.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaa kwa kweli nimeshindwa kujizuia best, kuna watu humu akili zimepinda kabisaaa
 
Mmh hapa tutaishia tu kuona picha ndg yangu, kumbe wallet yangu haisomi, labda tuunganishe nguvu twende zetu Bagamoyo, Zenji au Serengeti/Ngorongoro huko
Sasa tutaona pics za kina nani jaman
 
Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.

Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Hahahaa hatar
 
Jamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.
Tumia akili zako vizuri na wewe.......hivi mwanaume gani mwenye akili zake timamu aende kutumia milioni 11 kwa masaa? Huo ni uendawazimu uliokithiri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…