mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Hahaha cc:MillerMsojifanye busy mwite na Miller kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha cc:MillerMsojifanye busy mwite na Miller kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki mieee.Yaan wamepatikana kazi kujigamba tu kumbe hollaaa
Siyo siri...she is a cunning girl.Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Usimsifie katika hili.Hapa Shoga angu Labda wale wastaafu wenye pensheni zao.
Ila huwa nawakubali wapo baadhi wenye pesa zao huenda ukabahatika mwaya.
There you're.You are smart!
1.2 milioni ..for one night stand ...Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Nashukuru kwa kunielewa. Pia nashukuru kwa ufafanuzi huu. Mimi kiukweli sinaga makuu ila sipendi kuwa chini. Nitajikweza ikiwa uwezo unaruhusu kama sina siwezi kufanya chochoteHahaaa. Wala hukosei Mkuu. Pesa huwa naona inafaa ikizalisha na sio iteketee na kuleta hasara mwisho wa siku yanabaki majuto.
Na ikitokea basi iwe pesa ndogo na sio mahela yote hayo ambayo unaweza yafanyia cha maana sana.
Wala sio Ushamba Mkuu.
Kumbe mnawasomaga tu Hahaha watu Mnamjua kukejeli jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wana pesa za maandishi. Teh teh.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Alana yaan wote kimyaa siaminiAcha uchochezi Dina
Huyu mdada naye anazo au anataka kutujambisha?Kumbe mnawasomaga tu Hahaha watu Mnamjua kukejeli jamani
Na saint ivuga Daby Waite wanajifanya kupitiliza huu uzi kama hawauoniHahaha cc:Miller
KhaaaNakojoaaaaaaaaaaaaa
Anazo dada,, sasa Wanaume kimyaa na wale wenye napenda yao wapiHuyu mdada naye anazo au anataka kutujambisha?
Haha watakuja wana driveNa saint ivuga Daby Waite wanajifanya kupitiliza huu uzi kama hawauoni
Mimi salio limegoma kusoma na kadi imemezwaAlana yaan wote kimyaa siamini
Nilijua tuMimi salio limegoma kusoma na kadi imemezwa
Matoroli auHaha watakuja wana drive