Mic uKhaaaa..
Hapo mwisho nimerudia mara mbili... Uko serious au??? Miaka ulotaja ni watu wenye familia tayari!!! Hebu hurumia watoto wa mwanamke mwenzio jamani!!!! Juzi tuu ndo tumeimaliza January kwa mbinde!!
Magari wewe matoroli ya wapiMatoroli au
Hahaha relaxNilijua tu
Miss you more my kakaMic u
AhaaaaaMagari wewe matoroli ya wapi
Mtasingizia hadi Benk hazitoi Pesa mpaka tarehe 20Hahaha relax
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]Khaaaa..
Hapo mwisho nimerudia mara mbili... Uko serious au??? Miaka ulotaja ni watu wenye familia tayari!!! Hebu hurumia watoto wa mwanamke mwenzio jamani!!!! Juzi tuu ndo tumeimaliza January kwa mbinde!!
Haya mambo ya kuitana kaka haya sijaelewaMiss you more my kaka
Jirani[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
Nimeshaeleza kila kitu huko mbele jiraniJirani
Hela unayoooo
HahahaHaya mambo ya kuitana kaka haya sijaelewa
Bora wewe kaka zetu tuHaya mambo ya kuitana kaka haya sijaelewa
AiseeeNimeshaeleza kila kitu huko mbele jirani
Huyo pia sio ridhiki yanguAiseee
Inabidi ubaki na Demiss tuu
Unataka kuninyima nini lakini?Hahaha
Hutaki au nini jamani
Sio vizuri kuitana kaka mnataka kutunyima nini?Bora wewe kaka zetu tu
MmmhHuyo pia sio ridhiki yangu
Naanzaje kukunyima jamani... Hebu ukuje huku Namtumbo kwanzaUnataka kuninyima nini lakini?
Mwanamke mkavu hivi im sure hujawahi hata kushika 5 mil.Nyie ndo mnaanza maisha 11mil unatamani kujinyea ukiifikiria kutoa.