Valuu/konyag+asali+glucose

Valuu/konyag+asali+glucose

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
933
Wakuu nina kitambi flani hivi hadi kimeanza kumkera mamito wangu, naskia ukinywa pombe kali zinasaidia kuyeyusha mafuta chini ya ngozi tumboni, ofcoz huwa nakunywa sana valuu ndio siku 1 nikaamua kuchanganya na asali na glucose, nikaiapenda ladha yake sana. Je mchanganyo huo unaweza kuwa na madhara yoyote mwilini, kabla sijaamua kuendelea nacho right away, mawazo plse.
 
Fanya mazowezi.nahisi hiyo ni muafaka zaidi kwa tatizo lako.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
alcohol + energizer yeyote ni hatari kwa afya yako! acha mara moja!
 
ukinywa valuu unashikwa na njaa so inakupa uwezezo wa kula sana. ndo maana mabonge wengi wanakunywa valuu na bado wamenenepa. sababu ni kwamba inawapa hamu ya kula. muhimu acha pombe, fanya mazoezi kunywa maji ya moto mara kwa mara na punguza au acha kula mafuta japo ng'ombe ananenepa wakati hali vyakula vya mafuta. mia
 
ukinywa valuu unashikwa na njaa so inakupa uwezezo wa kula sana. ndo maana mabonge wengi wanakunywa valuu na bado wamenenepa. sababu ni kwamba inawapa hamu ya kula. muhimu acha pombe, fanya mazoezi kunywa maji ya moto mara kwa mara na punguza au acha kula mafuta japo ng'ombe ananenepa wakati hali vyakula vya mafuta. mia[/QU thanx, mazoezi, mazoezi, ni wito mkuu,. Unajua mkuu huwa nikiacha kunywa kwa mda huwa naimiss sana
 
alcohol + energizer yeyote ni hatari kwa afya yako! acha mara moja![/QU 2 questions plse, ni madhara yepi specifically na yanachukua mda gani kuonekana, pili kwenye eqn yetu pale juu, uki less glucose risk bado iko juu?
 
Nini ubaya wa valuu? Ndiyo kinywaji changu bidada Evelyn. Lkn jina lako linanikumbusha mbali sana

Linakukumbusha nini hili jina?
inapoteza kumbukumbu, proved kwangu na wadau wachache ninaogonga nao hii kitu....
take viceroy au smirnoff ni nzuri!!!
 
Linakukumbusha nini hili jina?
inapoteza kumbukumbu, proved kwangu na wadau wachache ninaogonga nao hii kitu....
take viceroy au smirnoff ni nzuri!!!
Jamaa hapa anamshauri atumie "southern comfort", pia inarudisha heshima ndani ya nyumba
 
Linakukumbusha nini hili jina?
inapoteza kumbukumbu, proved kwangu na wadau wachache ninaogonga nao hii kitu....
take viceroy au smirnoff ni nzuri!!!

Jina lako linanikumbusha mpenzi wangu wa long ago!!

Mbona mm nakunywa hii kitu kwa miaka 3 sasa na memory yangu naiona OK? Halafu inaamsha steam ile mbaya!!
 
Jina lako linanikumbusha mpenzi wangu wa long ago!!

Mbona mm nakunywa hii kitu kwa miaka 3 sasa na memory yangu naiona OK? Halafu inaamsha steam ile mbaya!!

Inaezakuwa inamadhara kwa baadhi we utakuwa kagume gume wewe teh!!!!
try smirnoff stimu zake duu!!!!
 
Glucose= sukari. Pombe=sukari. Unajiongezea matatizo juu ya matatizo. Fanya mazoezi, kata kabisa pombe aina yoyote, kula mboga nyingi, punguza vyakula vyeupe kama wali, viazi vya kukaanga au chakula chochocote cha kukaanga. Fanya mazoezi, kunywa maji. Utakuwa fit kitambi kitaisha. Jipe at least miezi 3 kuona mabadiliko .
 
ninavojua mimi pombe huwa inapunguza mafuta yasikae kwenye mishipa ya damu na kusababisha magonjwa ya moyo lakini sio yaliyogandamana kwenye tumbo. piga zoezi rafiki.
 
Back
Top Bottom