mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 933
Wakuu nina kitambi flani hivi hadi kimeanza kumkera mamito wangu, naskia ukinywa pombe kali zinasaidia kuyeyusha mafuta chini ya ngozi tumboni, ofcoz huwa nakunywa sana valuu ndio siku 1 nikaamua kuchanganya na asali na glucose, nikaiapenda ladha yake sana. Je mchanganyo huo unaweza kuwa na madhara yoyote mwilini, kabla sijaamua kuendelea nacho right away, mawazo plse.