pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
KudurufuHAPO WAJANJA WAMENUNUA WANAKWENDA KURUDUFU, HALAFU WANAUZA BUKU HADI BUKU MBILI HALA WANAUZA NAKALA LUKUKI.
MUZIKI WA BONGO NI TABU SANA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KudurufuHAPO WAJANJA WAMENUNUA WANAKWENDA KURUDUFU, HALAFU WANAUZA BUKU HADI BUKU MBILI HALA WANAUZA NAKALA LUKUKI.
MUZIKI WA BONGO NI TABU SANA.
Wenzake wiki ya kwanza wanagonga platinum RIAA Certfied yeye anafurahi copies 750?
TRA sio dubwana kama mnavyotaka watu waamini,lipeni kodi kwa mujibu wa biashara zenu copy 750 zikiuzwaa atakuwa keshaingiza na vat humo so hakuna shida tuwasapot watu wetu ili walipe kodi huku wakitabasam na kunywa kahawa ofisi za TRA!TRA wameshapiga hesabu zao mkidaiwa kodi msikimbie
uzalendo kwanza
Haiwezi kaa itokee hiyo ndo imeishia hapo akitamba sana copy buku tuuKopi 750? Chache sana ajitahidi zifike walau milioni moja!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee we jamaaMIMI KIBA NIMEPUMZIKA BAADA YA MZUNGUKO MREFU WA SHOW YA KINYONYAJI YA FIESTA.NASUBIRI FIESTA IJAYO NIVUME TENA
Huko nje kina Kendrick lamar wanauza copy zaidi ya million 1..... Tena copy moja bei yake mara tano zaidi ya bei anayouza mdee750x10,000=7,500,000/=
kwa siku
biashara tamu sana hiii naomba kujuzwa wapi naanzia ili nitoe singo wakuu
Kwanini isitokee mkuu ilihali nna uhakika vanessa hakosi mashabiki angalau elfu 10 kila mkoa kwa ushahidi wa tour wanazofanya.... Hivi akisema kiingilio ni elfu 15 yaani 5 ya kuingia na 10 ya album unafkiri hatofikisha nakala milion 1 kwa nchi ya vijana million 30???Haiwezi kaa itokee hiyo ndo imeishia hapo akitamba sana copy buku tuu
Si rahisi mkuu, imagine kuna rafiki yako maybe amenunua cd moja, wewe unaenda unamuazima unairip kwenye pc unaingiza nybo kwenye cm mchezo umeisha. Piracy ya kazi za Sanaa bado ni kikwazo kikubwa sana kwa mafanikio ya wasanii wetu hapa nchini.Muziki ungewekewa misingi na kulindwa kama biashara zingine tungezalisha mamilionea toka street wengi tu.
imagine auze copy laki mbili angalau.
Cd feki zipigwe vita kama vipodozi feki au vyeti feki tutengeneze ajira za bure bure kwa masela badala ya kuwa mateja na wakabaji.
Una mimba ya Kiba nini maana mada inamuhusu Vmoney wewe unashoboka na huyo Kiba wako nenda akakulawiti huko wewe fala
Mkuu mbona unatumia maneno makali....?
Kweli mkuu wao wanataka auze nakala M moja hawajui mwanzo ni mgumuEvery master was once a beginner.
750k750x10,000=7,500,000/=
kwa siku
biashara tamu sana hiii naomba kujuzwa wapi naanzia ili nitoe singo wakuu
Ndo kaanza.... Hujaona kuwa ni mafanikio makubwa?Wenzake wiki ya kwanza wanagonga platinum RIAA Certfied yeye anafurahi copies 750?
[emoji23][emoji23][emoji23]MIMI KIBA NIMEPUMZIKA BAADA YA MZUNGUKO MREFU WA SHOW YA KINYONYAJI YA FIESTA.NASUBIRI FIESTA IJAYO NIVUME TENA
born 2 shine mwenge opp. na TRAHiyo album inapatikana wapi tununue aisee?