Vanessa Mdee aachana rasmi na Jux

Vanessa Mdee aachana rasmi na Jux

Trey Songz kavunja ndoa dadekiii...!! [HASHTAG]#feelings[/HASHTAG] za kuchapiwa hazijawahi kumuacha mtu salama
 
Juma mmakonde na Vanesa mpare yaan ilikuwa patashika nguo kuchanika.. mtoto angekuwa zaidi ya mzinguaji...
Shikamoo wamakonde
JUMA JUX
HARMORAPA
HARMONIZE
JAFFARAY

Endelea kuwataja unaowajuaaaaa...
 
Jack yuko huru China so hakuna tatizo... kwa Vanessa Jux alijiwekeza tu.
 
Haya basi amsubiri Jackie wake nae aende kupata wake.

Hivi Jacky bado yupo lupango?
 
Back
Top Bottom