Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Haaaà jamaniKiba hana nafasi ya kushibdana na Diamond, Kiba saizi yake KR Mula mzee wa Cd700
Kiba hapangi time tableTatizo naye Kiba ali delay kupanda jukwaani kisa anajipima nguvu na wizkid....
Kiba atafutiwe mshauri nasaha
Wizkid sio msanii mdogoWenzetu wanajua kwenda na muda lile tamasha ilibidi lianze saa 8 mchana lakin likaanza saa 3 usku (naskia et lakin)
Sasa Kiba alipoteza tyme kwenye kubishana kuwa msanii mdogo wiz kid aanza alafu yeye ndo aingie then chris ndo amalizie.
Walipo kuja kina Chris wakasema tym yetu msha tuchelewsha sana mtu ache tuimbe , so walikuwa sahihi
Na ndipo ndugu yetu akazimiwa maiki kwa aibu kama hivo
Tatizo naye Kiba ali delay kupanda jukwaani kisa anajipima nguvu na wizkid....
Kiba atafutiwe mshauri nasaha
Yeye Kiba ndio alivo dai hivi mkuuWizkid sio msanii mdogo
Kifupi alikuwa hataki shoboYaani huyo duanzi Chriss Brown ambaye ni zao la babu zetu kupelekwa utumwani ndio anakuja Africa halafu hana mood sijui nzuri ? Kwani alikuja bure au kufanya kazi na analipwa ?
Shobo ndio nini ?Kifupi alikuwa hataki shobo
Yaani huyo duanzi Chriss Brown ambaye ni zao la babu zetu kupelekwa utumwani ndio anakuja Africa halafu hana mood sijui nzuri ? Kwani alikuja bure au kufanya kazi na analipwa ?