Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaahaa.....eti KR MulaKiba hana nafasi ya kushibdana na Diamond, Kiba saizi yake KR Mula mzee wa Cd700
Agiza sodaKiba hana nafasi ya kushibdana na Diamond, Kiba saizi yake KR Mula mzee wa Cd700
Agiza biaKiba hana nafasi ya kushibdana na Diamond, Kiba saizi yake KR Mula mzee wa Cd700
Amebaki kulia lia tu.Jamani hivi Kiba hana washauri? Mwambieni aachanne na muziki kwani ni kipaji kile si lelemama akama adhaniavyo yeye....ndiyo maana hapandi chati.
[emoji15] Hata wewe umemgeuka?Mimi nilitalajia atachezea chama langu la Dar Yanga Afrika msimu huu kumbe bado anaupenda muziki? Akili yangu yote huyu muziki ni starehe tu mpira ndio kazi yake!!
Huyo mtoto chafya sana wacha niishie hapa tu.
Sasa inahusiana nini na That Man kuzimiwa mic?huyu vanessa ni mpare lakn et hata kiswahili anaongea utadhani lugha yake ni kiingereza na ndio amejifunza kiswahili..
Ki ukwel hii kitu binafsi waga naichukia kwel
Screpa[emoji3]... nlikua napita tu mkuu nmejikwaa.. kama ume kereka samahani mkuuSasa inahusiana nini na That Man kuzimiwa mic?
Hahaahaa...noooma sanaKiba hana nafasi ya kushibdana na Diamond, Kiba saizi yake KR Mula mzee wa Cd700
halina akili lileTatizo naye Kiba ali delay kupanda jukwaani kisa anajipima nguvu na wizkid....
Kiba atafutiwe mshauri nasaha
yah ni kweli kabisaKiba hana nafasi ya kushibdana na Diamond, Kiba saizi yake KR Mula mzee wa Cd700
Uwezo mdogo mkuuNo publicity is bad publicity. Kiba tumia hiyo fursa