Pointless.
Onyesho lilikuwa na waandaji, na hao ndio hupanga timetable ya nani aanze, nani afuate na nani amalize. Sio jukumu la Msanii wala mshabiki kujiamulia. Msanii au mshabiki anaweza kushinikiza jambo lolote lakini mwisho wa yote MWANDAAJI NDIO ANAAMUA.
Kumzimia mic msanii akiwa jukwaani haukuwa uungwana kabisa, ni UHUNI KABISA, na suala hilo limefanywa na waandaji wenyewe. Wakulaumiwa ni waandaji hapo.
Waafrika sisi ni wajinga na wapuuzi kabisa, ni haki na halali kabisa kuendelea kutawaliwa na kutumikishwa na wazungu milele mpaka siku tujitambue.