Vanessa Mdee afichua sababu za Ali Kiba kuzimiwa Mic Mombasa

Hivi hela yake alilipwa?, wajuvi wa mambo tunaomba kujuzwa hilo
 
Kiba akili zake ni zero brain huwa namshangaa tu sio kwamba nyimbo ake sio nzuri ni nzuri ila anajikweza kuklliko uwezo wake wakati size yake ni kr mulla
 
Jamani hivi Kiba hana washauri? Mwambieni aachanne na muziki kwani ni kipaji kile si lelemama akama adhaniavyo yeye....ndiyo maana hapandi chati.
 
Hizi live za wabongo bana hovyo kabisa. Mtu anaalikwa kuimba badala ya kuimba anaishia kuopiga makelele tuu,mara yoo !!!yo!!!!!!!!!!! mara piga keleleee!! mara mikono juu!!!!!!!!!!!!!!! mara kuwawekea mic watu waimbe huku ukizimazimamuziku......sasa kuna ladha gani ....acha tuu washushwe stejini !!!!!!!!!!! hakuna jinsi maana tumechoka sasa
 
huyu vanessa ni mpare lakn et hata kiswahili anaongea utadhani lugha yake ni kiingereza na ndio amejifunza kiswahili..

Ki ukwel hii kitu binafsi waga naichukia kwel
 
Sjui Alikiba alihic nn ata kuanza kumuonglea Manager wa diamond wakt sabb ziko wazi kbsa,cjui hakjua km haya yooote yangejitokeza? Kwanza kuna clip iko mitandaon chris katukana kiba,kuwa hamjhi,na wala hakuwah kumskia,zaid kuna tus nzto nzto kaztua
 
Mimi nilitalajia atachezea chama langu la Dar Yanga Afrika msimu huu kumbe bado anaupenda muziki? Akili yangu yote huyu muziki ni starehe tu mpira ndio kazi yake!!

Huyo mtoto chafya sana wacha niishie hapa tu.
[emoji15] Hata wewe umemgeuka?
 
huyu vanessa ni mpare lakn et hata kiswahili anaongea utadhani lugha yake ni kiingereza na ndio amejifunza kiswahili..

Ki ukwel hii kitu binafsi waga naichukia kwel
Sasa inahusiana nini na That Man kuzimiwa mic?
 
Pointless.
Onyesho lilikuwa na waandaji, na hao ndio hupanga timetable ya nani aanze, nani afuate na nani amalize. Sio jukumu la Msanii wala mshabiki kujiamulia. Msanii au mshabiki anaweza kushinikiza jambo lolote lakini mwisho wa yote MWANDAAJI NDIO ANAAMUA.
Kumzimia mic msanii akiwa jukwaani haukuwa uungwana kabisa, ni UHUNI KABISA, na suala hilo limefanywa na waandaji wenyewe. Wakulaumiwa ni waandaji hapo.

Waafrika sisi ni wajinga na wapuuzi kabisa, ni haki na halali kabisa kuendelea kutawaliwa na kutumikishwa na wazungu milele mpaka siku tujitambue.
 
Yaani huyu dogo Ali kiba Fala kweli yaani anataka kujifananisha na Wiz Kid hana hata mshipa wa aibu kwa nyimbo ipi sasa ambayo inajulikana labda Afrika nzima tu na sio kwingine.
Wiz Kid anajulikana nyimbo zake Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…