chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Cha ajabu anamlaum SallamPointless.
Onyesho lilikuwa na waandaji, na hao ndio hupanga timetable ya nani aanze, nani afuate na nani amalize. Sio jukumu la Msanii wala mshabiki kujiamulia. Msanii au mshabiki anaweza kushinikiza jambo lolote lakini mwisho wa yote MWANDAAJI NDIO ANAAMUA.
Kumzimia mic msanii akiwa jukwaani haukuwa uungwana kabisa, ni UHUNI KABISA, na suala hilo limefanywa na waandaji wenyewe. Wakulaumiwa ni waandaji hapo.
Waafrika sisi ni wajinga na wapuuzi kabisa, ni haki na halali kabisa kuendelea kutawaliwa na kutumikishwa na wazungu milele mpaka siku tujitambue.
Labda unijuwi vizuri unanisoma kwa woga.[emoji15] Hata wewe umemgeuka?
Haha [emoji3]Chris Brown hana adabu, na hizo bangi zake hawezi kumvunjia heshima Balozi.
Zao la babu yako gan mzee au yule wa Nangwada..Yaani huyo duanzi Chriss Brown ambaye ni zao la babu zetu kupelekwa utumwani ndio anakuja Africa halafu hana mood sijui nzuri ? Kwani alikuja bure au kufanya kazi na analipwa ?
Huyo huyo hujakoseaZao la babu yako gan mzee au yule wa Nangwada..
wazungu na waafrika waishio ulaya na marekani wanajali sana mda.tatzo chriss brown alikuwa anaenda na muda kwa ajili ya kuwahi ndege.time is money.....
Aiseeeh ww unataka kukasirisha watumishi wa mfalme eeeh???? . Kuwa muungwana aiseeeh"tell that man (kiba) to step down or we will use force" Hahaaa! Hivi walinzi wa Chris Brown hawamjui Kiba hadi wamwite "that man"!?
Mh! Hii ni sawa na kumloga chiziShobo maana yake jamaa hatak kushobokewa.We nae mgum kuelewa...
Balozi wa temboChris Brown hana adabu, na hizo bangi zake hawezi kumvunjia heshima Balozi.
Dah...Kiba hana nafasi ya kushibdana na Diamond, Kiba saizi yake KR Mula mzee wa Cd700
Mwambie Bwana Yule ashuke....hahhaahahaa"tell that man (kiba) to step down or we will use force" Hahaaa! Hivi walinzi wa Chris Brown hawamjui Kiba hadi wamwite "that man"!?
Yes naona chief Matola umekuwa muungwana.Labda unijuwi vizuri unanisoma kwa woga.
Hawa watoto Diamond na huyu Kiba usiwakosowe for what?
Diamond hamna shule pale lakini inaonekana wazi ni quick learner tofauti na huyu dogo mwingine ambaye ana sayari yake ya peke yake anayoishi.
Ndio maana nilimtalajia kwenye chama langu la Dar Yanga Afrika.
Kanuni za muziki wa kiushindani huyu dogo sidhani kama anazijuwa.
Ana kipaji kikubwa sana lakini ni sikio la kufa.