nafikiri sio gundu ila nimegundua hajui kujipanga.
panapo hitaji kubembeleza yeye anaweka msuli....kwenye kazi analeta maisha ya chumbani - mzik rege shoo singeli.
japo yuko kipindi cha pensheni bado ana nafasi ya kwenda darasani walau apate nafasi ya kuwa mlezi (aka babu) wa maisha plasi.