Vanessa Mdee aja na muonekano mpya, sasa kama Bob Marley

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake
Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube
Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokubali na muonekano huu

 
Si bure, Atakuwa ameanza kutumia majani, ila kama bado muda ni mwalimu mzuri.
 
Nimeupenda huu muonekano wake mpya.
 
Sifa yetu wanawake ni kujipenda sasa huyu naye kakautwa na yapi. Mbona anatisha hajapendeza hata kidogo.
 
kwa wasanii wa bongo, muda si mrefu tusishangae yupo sober ya bagamoyo au anafuata vidonge kama rey c. halafu, uchangamfu wa huyu binti huwa naona kama umezidi vile, kweli haujawa prompted na ka energizer kidogo? huwa haeleweki....akili za kikibwa kama hazimo vile.
 
Sio anatumia majani bali kajielewa yeye ni Mwafrika.

Wasanii wengi wanaabudu sana styles za Magharibi na kuupuza Uafrika wetu.

Ni time ya kudumisha Uafrika wetu kwa sababu, Ndio uhalisia wetu.

Watu wengi hawajielewi watakoment negative, ila hapo Vanessa katengeneza Id nzuri kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…