Vanessa Mdee aja na muonekano mpya, sasa kama Bob Marley

Vanessa Mdee aja na muonekano mpya, sasa kama Bob Marley

Vanesa nae shida yake anafanya mambo mpaka anapitiliza,video zake zipo overcomplicated mapambo na madoido meeeeeengi,akihojiwa kwa kiswahili anajibu kwa kiingereza kiiiiiiiingi,ona sasa mwili mdogo rasta ndefeeeeeefu halafu nyiiiiiiiiiiiiiiingi!
 
Huyo mwingine kwenye picha ni nani, babaake?
 
Duh Jux hapa anavumilia mengi aiseee vile alivyo smart halafu ana mwanamke anavaa Kama mwanasesere... Jack arudi tu bwana[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio anatumia majani bali kajielewa yeye ni Mwafrika.

Wasanii wengi wanaabudu sana styles za Magharibi na kuupuza Uafrika wetu.

Ni time ya kudumisha Uafrika wetu kwa sababu, Ndio uhalisia wetu.

Watu wengi hawajielewi watakoment negative, ila hapo Vanessa katengeneza Id nzuri kimataifa.
Mtu aliyetumia mkorogo? Are you serious?
 
Back
Top Bottom