Uliza Nkujibu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 806
- 640
wakati zamani naangalia kipindi cha wanyama Televisheni ya Taifa, kulikua na sokwe wawili mmoja anaitwa McRegan, mwingine anaitwa Fifi..
mimi nahisi huyu ni Fifi.
mimi nahisi huyu ni Fifi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii sio akili ya kawaida ni nguvu ya sembe hii sio bure...Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake
Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube
Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokubali na muonekano huu
View attachment 426524
View attachment 426525View attachment 426526
Jamaa kaamua kututukana! Yaaani anamtaja Bob Marley kiboya boya hivi!Huo muonekano kwako ni kama wa Bob Marley? Kama humjui Bob Marley usimfananishe na watu wakijinga...
Dada nimepigia mstari kauli yako.Usimfananishe Bob Marley na mambo ya kijinga.
Mtu aliyetumia mkorogo? Are you serious?Sio anatumia majani bali kajielewa yeye ni Mwafrika.
Wasanii wengi wanaabudu sana styles za Magharibi na kuupuza Uafrika wetu.
Ni time ya kudumisha Uafrika wetu kwa sababu, Ndio uhalisia wetu.
Watu wengi hawajielewi watakoment negative, ila hapo Vanessa katengeneza Id nzuri kimataifa.