Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BangemalleVanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake
Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube
Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokubali na muonekano huu
View attachment 426524
View attachment 426525View attachment 426526
Stunter kama nini??? Kwsbb nimejaribu kuimagine hiyo picha ya kwnz na kinyago naona kama vile kuna kau....hebu ngojaaKama kinyago....
Mkuu nakupa 5 Bob aliimba living songs ambazo zinapigwa hadi leo na hakuimba za mapenzi kama huyuNaomba uedit hiyo heading na uache kucheza na jina la Bob Marley.
kwa wasanii wa bongo, muda si mrefu tusishangae yupo sober ya bagamoyo au anafuata vidonge kama rey c. halafu, uchangamfu wa huyu binti huwa naona kama umezidi vile, kweli haujawa prompted na ka energizer kidogo? huwa haeleweki....akili za kikibwa kama hazimo vile.Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake
Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube
Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokubali na muonekano huu
View attachment 426524
View attachment 426525View attachment 426526