Vanessa Mdee ajitoa kutumbuiza Mombasa na Chriss Brown

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Vanessa amejitoa baada ya waandaaji kuto timiza masharti ya wali ya makubaliano, vanessa ametoa taarifa hiyo kitia kurasa zake za mitandao ya kijamii
 
Nna was was na wengine wanao enda kuperfom isje ikawa ndo kutafta unaarufu tu eti ulipanda jukwa moja na Chris breezy, ili uridhishe mashabili wako
*safi Vanesa ndio kujitambua huko


Samahani kwa wale nlio wakera [emoji1]
 
Tutegemee surprise perfomance kutoka kwa Shilole.
 
Vee money sio msanii wa surprise, Hongera zake mdada anaelewa anafanya nini...
 
Muziki Ni kazi,Kama waandaaji wamekiuka makubariano,usiende...wanamuziki kuweni na msimamo.
 
KAZIKWEPA DHARAU, HUKU TZ TUNAKUITA MSANII WA KIMATAIFA na mwingine tunamuita "king",HALAFU HAPO KWENYA TU HAWAKUPI HADHI YAKO. SASA ONA HATA KWENYE MATANGAZO YAO HAWAWATAJI KUWA KUTAKUWA NA MSANII FULANI KUTOKA TZ,ZAIDI YA CHRISS BROWN NA WIZKID.
 
Nna was was na wengine wanao enda kuperfom isje ikawa ndo kutafta unaarufu tu eti ulipanda jukwa moja na Chris breezy, ili uridhishe mashabili wako
*safi Vanesa ndio kujitambua huko


Samahani kwa wale nlio wakera [emoji1]

Jiwe GIZANI..!
 
Wanataka kuwafanyia surprise mashabiki..!
 
If no profit no deal.. big up v money
 
dah kweli aya ni madharau
 
Hahhaa mbona kiba aonekani kwenye matangazo nn tena au ndo anajaziwa watu bdae aseme aliwajaza
 
MMMH NI NA WASI WASI NA HII TAARIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…