Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nna was was na wengine wanao enda kuperfom isje ikawa ndo kutafta unaarufu tu eti ulipanda jukwa moja na Chris breezy, ili uridhishe mashabili wako
*safi Vanesa ndio kujitambua huko
Samahani kwa wale nlio wakera [emoji1]
Wanataka kuwafanyia surprise mashabiki..!KAZIKWEPA DHARAU, HUKU TZ TUNAKUITA MSANII WA KIMATAIFA na mwingine tunamuita "king",HALAFU HAPO KWENYA TU HAWAKUPI HADHI YAKO. SASA ONA HATA KWENYE MATANGAZO YAO HAWAWATAJI KUWA KUTAKUWA NA MSANII FULANI KUTOKA TZ,ZAIDI YA CHRISS BROWN NA WIZKID.
![]()
dah kweli aya ni madharauKAZIKWEPA DHARAU, HUKU TZ TUNAKUITA MSANII WA KIMATAIFA na mwingine tunamuita "king",HALAFU HAPO KWENYA TU HAWAKUPI HADHI YAKO. SASA ONA HATA KWENYE MATANGAZO YAO HAWAWATAJI KUWA KUTAKUWA NA MSANII FULANI KUTOKA TZ,ZAIDI YA CHRISS BROWN NA WIZKID.
![]()
Haaa haaa, safari haendi kama surprise artist yupo kwenye matangazoHahhaa mbona kiba aonekani kwenye matangazo nn tena au ndo anajaziwa watu bdae aseme aliwajaza