Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

Chadema nguvu ile ile mliyowekeza kwa Wema ielekezeni kwa Vanessa Mdee anatuhumiwa na biashara na matumizi ya mihadarati.Vanessa ana followers mamia ya maelfu instagram.

Kama ilivyo kawaida Tundu Afanye kazi hii mara moja ili kupata kura za Vanessa na wafuasi wake na kuongeza ruzuku.

Hadi sasa binti huyu yupo mahabusu,kama Tundu hana nafasi basi aende Kibatala mapema I week anavyojitutumua, muda wa kuwekeza ili kupata "wapigania" chama wenye maadili ndio huu
 
kama hajihusishi na madawa ya kulevya ni noma sana maana mpaka huko alikokuwa anaimba kimataifa baona wameandika kuwa amekamatwa na madawa
 
Chadema nguvu ile ile mliyowekeza kwa Wema ielekezeni kwa Vanessa Mdee anatuhumiwa na biashara na matumizi ya mihadarati.Vanessa ana followers mamia ya maelfu instagram.

Kama ilivyo kawaida Tundu Afanye kazi hii mara moja ili kupata kura za Vanessa na wafuasi wake na kuongeza ruzuku.

Hadi sasa binti huyu yupo mahabusu,kama Tundu hana nafasi basi aende Kibatala mapema I week anavyojitutumua, muda wa kuwekeza ili kupata "wapigania" chama wenye maadili ndio huu
Kuna watu nadhan mlienda shule kukifunza ujinga
 
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema linaendelea na ukamataji watu wanaosadikiwa kujihusisha na matumizi na biashara ya dawa za kulevya na linawashikilia wasanii wawili wa muziki wa bongo fleva, akiwemo Vanessa Mdee.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Simon Sirro alisema wasanii hao walikamatwa juzi na wanaendelea na mahojiano ili kubaini kama wanajihusisha na biashara hiyo au la.

Alisema msanii mwingine anajulikana kwa jina la Rumishael ; na taarifa za awali zinaonesha kuwa wasanii hao ni watumiaji na pia wanajihusisha na biashara ya kusambaza dawa hizo.

“Tuko nao tangu juzi na kwa sasa tunaendelea na upelelezi ili kujiridhisha na utakaokamilika watawafikisha mahakamani kwa hatua zaidi, wapo wengi, si hawa tu; na shughuli ya ukamataji inaendelea vizuri,” alisema Kamanda Sirro.

Sirro aliwaomba wananchi, kuendelea kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na biashara hiyo, lengo likiwa ni kuhakikisha suala la dawa za kulevya linamalizwa katika mkoa huo.

“ Niwaombe wana Dar es Salaam waendelee kutoa taarifa, lakini ziwe za kweli ili kufanikisha suala hili kwa manufaa ya Watanzania,” aliongeza Sirro.

Mwezi uliopita msanii Vanessa alitajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwa anasadikiwa kujihusisha na biashara hiyo, ambapo alitakiwa kufika katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda hiyo kwa mahojiano, lakini alishindwa kufika kutokana na kuwepo nchini Afrika Kusini kikazi.

Taarifa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, zinasema msanii huyo alijisalimisha katika kituo hicho juzi ; na polisi walimpekua nyumbani kwake, kabla ya kumpeleka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
 
Making money has never been easy ladies and gentlemen...... Kwenye music wa bongo kuna mengi yamejificha, lakin ukwel ni kwamba, wapenzi wa music wanapenda kula muziki bure... Hali iliyopelekea wasanii wwngi kujiingiza huko...

Hivi kwa mziki gani msanii uwe na maisha ya gharama kiivo?

Ma don wa muziki wameshindwa kuwasaidia wasanii hasa kuendesha mzik kibiashara, wakaamua kuwabebesha poda...
V money, im sory fo you, play responsibility in your part.
 
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Nilizaliwa wakati Mwingereza ndiyo mtawala, hata ndoto nnaota kwa Kingereza, kumbuka hilo.

Isitoshe, si Kingereza tu, AlhamduliLlah, nna lugha sita za Kimataifa zimetulia kichwani licha ya mbili tatu zingine za kuombea maji.

kawadanganye wajukuu zako sio mimi.
 
Tujifunze sheria utakuta mtu amekamatwa au amepekuliwawakati afisa wa polisi amefika bila hati ya ukamati au ya upekuzi
 
No way she could afford and enjoy the kind of lavish lifestyle she appears to be living because her music sucks. Fake voice. Fake body. Fake everything.
 
Tujifunze sheria utakuta mtu amekamatwa au amepekuliwawakati afisa wa polisi amefika bila hati ya ukamati au ya upekuzi
Mkuu serikal ipo juu ya sheria hata wasipokuwa na hiyo barua watakukamata na ukikataa utachezea virungu
 
Back
Top Bottom