Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu nadhan mlienda shule kukifunza ujingaChadema nguvu ile ile mliyowekeza kwa Wema ielekezeni kwa Vanessa Mdee anatuhumiwa na biashara na matumizi ya mihadarati.Vanessa ana followers mamia ya maelfu instagram.
Kama ilivyo kawaida Tundu Afanye kazi hii mara moja ili kupata kura za Vanessa na wafuasi wake na kuongeza ruzuku.
Hadi sasa binti huyu yupo mahabusu,kama Tundu hana nafasi basi aende Kibatala mapema I week anavyojitutumua, muda wa kuwekeza ili kupata "wapigania" chama wenye maadili ndio huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuna watu wamelikeDuh! "...a serial connections of drugs of abuse".
kupata vichekesho vingine tuma neno BASHITE kwenda 15550, Vodacom kazi ni kwako!Yaani mtu anajipeleka mwenyewe polisi ndiyo mnaenda kumsachi kwake, mtamkuta na kitu hapo, hii kampeni ina vichekesho vingi
Nakubaliana na wewe mkuuMaking money has never been easy ladies and gentlemen...... Kwenye music wa bongo kuna mengi yamejificha, lakin ukwel ni kwamba, wapenzi wa music wanapenda kula muziki bure... Hali iliyopelekea wasanii wwngi kujiingiza huko...
Hivi kwa mziki gani msanii uwe na maisha ya gharama kiivo?
Ma don wa muziki wameshindwa kuwasaidia wasanii hasa kuendesha mzik kibiashara, wakaamua kuwabebesha poda...
V money, im sory fo you, play responsibility in your part.
Sahihi kabisa mkuuMaking money has never been easy ladies and gentlemen...... Kwenye music wa bongo kuna mengi yamejificha, lakin ukwel ni kwamba, wapenzi wa music wanapenda kula muziki bure... Hali iliyopelekea wasanii wwngi kujiingiza huko...
Hivi kwa mziki gani msanii uwe na maisha ya gharama kiivo?
Ma don wa muziki wameshindwa kuwasaidia wasanii hasa kuendesha mzik kibiashara, wakaamua kuwabebesha poda...
V money, im sory fo you, play responsibility in your part.
Makonda mwenyewe anaekamatisha watu yuko wapi kwa sasa?
Nilizaliwa wakati Mwingereza ndiyo mtawala, hata ndoto nnaota kwa Kingereza, kumbuka hilo.
Isitoshe, si Kingereza tu, AlhamduliLlah, nna lugha sita za Kimataifa zimetulia kichwani licha ya mbili tatu zingine za kuombea maji.
Hivi amesharudi? Nna majina nataka nimkabidhi atangaze tena.Anakula bata South, anarudi kesho mwenye jiji lake
Mkuu serikal ipo juu ya sheria hata wasipokuwa na hiyo barua watakukamata na ukikataa utachezea virunguTujifunze sheria utakuta mtu amekamatwa au amepekuliwawakati afisa wa polisi amefika bila hati ya ukamati au ya upekuzi