Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

Warumi kwani unaona ni sawa kuwakamata hawa watumiaji na kuwaweka ndani, badala ya kuwatumia kama link ya information kwa wale mapapa wakubwa wanaowauzia. . ?
Wew mtu yoyote yule mtumiaji wa ngadaa awezi taja kiurahisi huwa ni Nani anayemuuzia,,, ila akiwekwa ndani siku kama mbili akili zitapanda ataona Haina haja ya kuumia ni bora ataje anayemuuzia.... Sasa mtu awezi kuwa wa information katika biashara haramu bila kubanwa (punda bila kiboko awezi kwendaa) Sasa serikali haikosei wanajua wanachokifanya
 
Jux anagundu na mademu zake kuhusika na unga yule mwingine jela china huyu ndo vile tena
 
Ila haka ka V money navizimia vifupa vyake kwa kweli!
 
Back
Top Bottom