Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

Vanessa Mdee akamatwa na Polisi Dar kwa tuhuma za Madawa ya Kulevya

[emoji381] [emoji381] [emoji381] [emoji381]
 
Ukiwa teja kuliwa 0 na () kama unayo simple tu...watu wanangoja uzime tu
 
Na alivyojichokea si wangempa methadone tu, kule wataenda kukaua tu jamani

Haaa haaaa umenichekesha sana.

Serikali ilisema methadone imeisha.

Kwa sasa MSD wameagiza kutoka nje ya nchi maana hata pale Zenji hawana ya kutosha.

Ndiyo basi tena, acha tu afe hakuna namna aisee.
 
....a serial connection of drugs of abuse
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]

Ukiandika, nukta huwa tatu.

Zikiwa kama nilivyoziweka ina maana yale ya mwanzo kama yalivyo isipokuwa rekebisha kuanzia nilipokuwekea nyekundu na nimekuwekea kipi cha kubadili.

Huwa sikisii. Kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom