Vanessa Mdee huku ni kutuweka majaribuni sasa

Uummmh...nah!
Wanaume watu wa ajabu kweli kweli. Vanessa havutiii hataaaa ila kuna mtu halali huko
Sio wote....mana yule demu ni mbovu atari nashangaaa eti anaonekana na mvuto...sema usishangae sana mana muangalie kwanza Beholder unaeza kukuta beholder ana sura mbovu zaidi ndo mana
 
Vanessa mzuri ukimlinganisha na kina Uyowa, Wema, Poshy Queen and the like.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…