Vanessa Mdee huku ni kutuweka majaribuni sasa

Vanessa Mdee huku ni kutuweka majaribuni sasa

Wengine tumeamua kuurudia utukufu...lakini hizi chokochoko za hawa dada zetu kwenda mbinguni ni kazi sana.

View attachment 1003218View attachment 1003219View attachment 1003220View attachment 1003221View attachment 1003223View attachment 1003224
Kana mifupa lkn lkn...watu wanataka kula solo haijalishilishi
Mhhh mimi huyu sina mzuka nae kabisa labda Mdogo wake "MIMI MASI" kidogo ana nyama nyama huyo naona mifupa tupu kama BETINA.
Unataka nyama siku hizi zinafungwa kwny foili...utamu wa gogo ni kulitoboa upo!kinachoangaliwa anatoa solo iliwe!🙂
 
Kama picha hizi zinakuchanganya ubongo, nakushauri; usikatize swimming pool. Kule ndo utadata kabisa kabisa.
 
Iko hivyo .. but ina depends kwa baadhi ya watu sometimes ukiwa na manzi mzuri ni rahisi sana kuwaona wale wasio kuwa na mvuto kuwa sio kitu sio lolote .. but ikitokea mka breakup " so ndio huwenda ukajikuta una lala na mwanamke ambaye hakuvutii kutokana na msukumo wa genye tu "

Hii ni kama simba kula majani akosapo nyama

Ila kuna wanaume wengine wao hata akiwa na mwanamke mzuri kiasi gani hilo halimzuii kulala na mwanamke asiye mvutia yeye anachotaka ni ku cum tu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah inatokeaga, sio kila anayeliwa yupo moyoni. Wengine ni basi tu ilimradi tusuuze kuni!
 
Haka kademu Ni kabaya halafu kanajianika hovyo

High time kuwafunza adabu hawa watoto... Weka ndani tu

Maadili ya Tanzania hayaruhusu kuanika vipapatio in public

Sijui angekua mzuri ingekuaje
 
Wanawake tunapeana compliment, tofauti na wanaume ukisema dume mwenzio mzuri unawekewa viulizo.
Mvuto wake zero.,


Usibishane na mwanamme wa Dar au Pwani, watakupotezea muda tu....we angalia jinsi Diamond anavyoliliwa na vijana wa Dar wakati wanawake karibia ya wote wanajuwa kuwa Diamond is NOT handsome at all wako tu pale kwa ajili ya kuchuna pesa.
 
Back
Top Bottom