Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah..raha ya supu ....mfupa 😎Mhhh mimi huyu sina mzuka nae kabisa labda Mdogo wake "MIMI MASI" kidogo ana nyama nyama huyo naona mifupa tupu kama BETINA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah..raha ya supu ....mfupa 😎Mhhh mimi huyu sina mzuka nae kabisa labda Mdogo wake "MIMI MASI" kidogo ana nyama nyama huyo naona mifupa tupu kama BETINA.
Dah..raha ya supu ....mfupa 😎
Hahaha FUpa inatakiwa iwe ile ya BEEF au JEMBE ila huyu Fupa la Mbavu.Dah..raha ya supu ....mfupa 😎
Kuna Mwingine Aisee hana nyama kabisa nahisi ngozi imekamatana na mifupa ..FLAVIANA MATATA.
Wengine tumeamua kuurudia utukufu...lakini hizi chokochoko za hawa dada zetu kwenda mbinguni ni kazi sana.
View attachment 1003218View attachment 1003219View attachment 1003220View attachment 1003221View attachment 1003223View attachment 1003224
Demu hana hata mvuto lakini anapenda kukaakaa uchi.Mhhh mimi huyu sina mzuka nae kabisa labda Mdogo wake "MIMI MASI" kidogo ana nyama nyama huyo naona mifupa tupu kama BETINA.
Inabidi afanye mpango wa kuongeza nyama ,amtafute Poshy Queen ampe siri ya mfanikio.Demu hana hata mvuto lakini anapenda kukaakaa uchi.
Nakubaliana na wewe Mimi Mars is sexy
Uummmh...nah!
Wanaume watu wa ajabu kweli kweli. Vanessa havutiii hataaaa ila kuna mtu halali huko
Kama Flavian MatataWengne vimodo ndo ugonjwa wetu,mitukunyema hapana kwakwel,..ila kangekua karef kdogo ndo kangebamba kabsaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uummmh...nah!
Wanaume watu wa ajabu kweli kweli. Vanessa havutiii hataaaa ila kuna mtu halali huko