Vanessa Mdee huku ni kutuweka majaribuni sasa

Wanaume hawana jipya kabisa akiwa mnene utasikia hapana, kaja huyu ooo hakuna nyama............. Muulizeni Jux ndio anajua utamu wa mwana mdee by the way Jide na Gadna nao wamerudiana Injinia soma iyooo
 
Binadamu tunatofautiana sana!Mimi vya shape hizo ndo ugonjwa wangu.
 
Uummmh...nah!
Wanaume watu wa ajabu kweli kweli. Vanessa havutiii hataaaa ila kuna mtu halali huko

UKIWA MWANAMKE HUNA HAKI YA KUSEMA NINI KINATUVUTIA WANAUME NA NINI HAKITUVUTII, UNLESS UMEANZA KU DEVELOPE GENE ZA KUSAGA WENZAKO, ANANIVUTIA KWELI HUYU MTOTO WA GOD FATHER WANGU MDEE!
 
namkubali sana Vanessa. Nahisi kitandani katakuwa strong sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…