Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Hivi jux anasomea nini huko uchinani,udaktari au mbona hatuoni graduation mwaka wa nne sasa...
Alafu huyu sista wake fatmaeight5 na mmewe mo siwaelewi pia,wanapata wapi pesa hawa maana ni bata tu,mmh

Anasoma Computer science
 
Dhuuuuu!!!! Kudadek aliona rayc na jack wanafaid sana eeeeh wacha nae afaid utamu wa dunia
 

hata ray C naye walimtetea sana,ngoja tuone inakuaje! Kuwa na karibu na weusi hamzuii yeye kula unga km koboko
 
Kwa habari hizi nikimsikia mtoto wangu anataka kuwa msanii nitamkataza maana imekuwa njia ya uteja
 

Mkuu umeniogopesha hila kwenye suala la madawa siwezi kumwekea mtu zamana mfano ferooz alimwimbia Daz baba kijana mteja naw yeye ni mteja vibaya mno
 
kuna video clip ya salamu za mwaka mpya ya diamond platnumz huwa inaonyeshwa na azam tv.ule uzungumzaji wake unanitia shaka sana....mdomo wake unaonekana mzito ktk kutamka maneno.....siyo diamond yule anayeongea maneno mengi ya kitandale tandale niliyemzoea...isije kuwa na yeye ni mnusaji mkubwa wa hayo madude...mungu anisamehe kwa kumfikiria simba vibaya...kama ni kweli basi ipo siku wakati utaongea.
 
huyu huyo alikuwa na mahusiano na mdada ambaye amefungwa china kwa madawa,huyo huyo ndio anamfundisha vanesa kuvuta,naamini story yako
Je huyu boy friend wake Vanessa Mdee naye anabugia Madawa
 
Mzaramo umeeleweka
 
Young dee na,Vanessa ndi next bg social networks and midia kwa madawa na ndo more story kwa sasa social networks
Unajua watu awajaelewa ukitaka kuwa Msanii na unajulikana ukiwa na Kiki ya kutumia Unga ndio wanaona bonge la ujanja sana
 
Mpaka nimsikie Dem wa The Bold ndiyo.nitaamini,maana kwa ubuyu anatisha.
 
Hili nililisikia muda sana,kama mwaka mmoja uliopita.
Shauri zake,sio mtoto asiyeona madhara yatokanayo na unga.
Time will tell.
Huwa nakuamini sana kwenye maubuyu,kama sijakusikia najua haipo hivyo.
 
hii habari ilikuwa Jan mwaka jana vipi gari lishawaka au plug zinazingua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…