Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Hivi jux anasomea nini huko uchinani,udaktari au mbona hatuoni graduation mwaka wa nne sasa...
Alafu huyu sista wake fatmaeight5 na mmewe mo siwaelewi pia,wanapata wapi pesa hawa maana ni bata tu,mmh

Anasoma Computer science
 
Dhuuuuu!!!! Kudadek aliona rayc na jack wanafaid sana eeeeh wacha nae afaid utamu wa dunia
 
Vanessa anajitambua sana huwezi mfananisha na jack

Unavyomuona Vanessa, licha ya kuwa mpenzi wa jux still muda mwingi yupo na nahreal na aika na sometimes yupo na weusi hiyo ndio campany yake, hawa watu wanasikilizana na kuheshimiana sana..

Unavyoyaona mafanikio ya vanessa mpaka hivi sasa, HANAGA MANAGER, MAMBO YOTE ANASIMAMIA YEYE MWENYEWE.. Ni mtu wa kusimamia sana, malengo yake although binadamu tunakumbana na vishawishi na tunaudhaifu, ila sio kwa vanessa kutumia madawa ya kulevya..

Kabla ya kujaji jiulize, je kuna supportive evidence yenye tija kutoka kwenye hayo maelezo ya mtoa mada??? au kwakuwa ni star, then baya lolote anaweza kufanya???

hata ray C naye walimtetea sana,ngoja tuone inakuaje! Kuwa na karibu na weusi hamzuii yeye kula unga km koboko
 
Kwa habari hizi nikimsikia mtoto wangu anataka kuwa msanii nitamkataza maana imekuwa njia ya uteja
 
Vanesa hanihusu and I have nothing against her ila ikumbukwe tu, the company you keep says a lot about you. Unataka kuniambia Jack alikuwa hajitambui? She knew who she was na ndiyo manna alikuwa anadanganya watu kuwa hajishughulishi na biashara ya unga na ukahaba kule Macau.

Kwa tunayejuwa haya masuala tulikuwa tunacheka tu. Jack ni malaya wa kujiuza, pusher, na kuwadi wa kuuza wenziwe watu wake wa karibu ndiyo walikuwa wasiri wake wakubwa.

Kama Vanessa anataka kubwigia sembe mbona anaweza sana kwa sababu kwenye rehearsal kuna break na anaweza kusema yupo kwenye mazoezi ila anafanya mavituz yake na watu aliyenao karibu ndio wasiri wake wakubwa.

Kumbuka, akufutae machozi when you are crying is the one who makes you cry. Yetu macho, Vanessa kama kweli anajitambua she has to stop dating this fool, Jux is a junk. Nasema haya because I care for that little girl, hata kama mimi ningekuwa baba wa Vanessa nisingeruhusu mwanangu atoke na pusher who uses my daughter for his gain.

Jux will never come here kusema kuwa yeye si pusher, we know him na nani anampa kichwa cha hizi dawa, mbona siyo siri?

Mkuu umeniogopesha hila kwenye suala la madawa siwezi kumwekea mtu zamana mfano ferooz alimwimbia Daz baba kijana mteja naw yeye ni mteja vibaya mno
 
kuna video clip ya salamu za mwaka mpya ya diamond platnumz huwa inaonyeshwa na azam tv.ule uzungumzaji wake unanitia shaka sana....mdomo wake unaonekana mzito ktk kutamka maneno.....siyo diamond yule anayeongea maneno mengi ya kitandale tandale niliyemzoea...isije kuwa na yeye ni mnusaji mkubwa wa hayo madude...mungu anisamehe kwa kumfikiria simba vibaya...kama ni kweli basi ipo siku wakati utaongea.
 
huyu huyo alikuwa na mahusiano na mdada ambaye amefungwa china kwa madawa,huyo huyo ndio anamfundisha vanesa kuvuta,naamini story yako
Je huyu boy friend wake Vanessa Mdee naye anabugia Madawa
 
Itafahamika tu maana hata Chid Beenz alikuwa anabisha mpaka siku ile anaojiwa na Salama alikuwa anakuja juu kabisa Salama anampoza...

Nando alibisha....Ray C alibisha akakimbilia mpaka Kenya kuvuta kwa uhuru.

T.I.D mpaka Kesho anabisha....Q.chillah alibisha yalipomzidi akaenda mwenyewe kuomba msaada kwa Muhonda.

Young D alibisha kweli kweli...na wote hao walikuwa kuna watu kama wewe wanawatetea.

Ila kikubwa kuvuta unga ni kama kupanda mnazi uhani kwako ukiwa mdogo utafanya siri ila ukishakuwa utaipita nyumba urefu na kila mtu atajionea.
Mzaramo umeeleweka
 
Young dee na,Vanessa ndi next bg social networks and midia kwa madawa na ndo more story kwa sasa social networks
Unajua watu awajaelewa ukitaka kuwa Msanii na unajulikana ukiwa na Kiki ya kutumia Unga ndio wanaona bonge la ujanja sana
 
Mpaka nimsikie Dem wa The Bold ndiyo.nitaamini,maana kwa ubuyu anatisha.
 
Hili nililisikia muda sana,kama mwaka mmoja uliopita.
Shauri zake,sio mtoto asiyeona madhara yatokanayo na unga.
Time will tell.
Huwa nakuamini sana kwenye maubuyu,kama sijakusikia najua haipo hivyo.
 
hii habari ilikuwa Jan mwaka jana vipi gari lishawaka au plug zinazingua ?
 
Back
Top Bottom