Haaaa haaa we chizi fresh....Kwajinsi navyokutamani V money.... 'mi pia naanza kutumia... Tukutane sober house cc kalapina
Mkuu umeniogopesha hila kwenye suala la madawa siwezi kumwekea mtu zamana mfano ferooz alimwimbia Daz baba kijana mteja naw yeye ni mteja vibaya mno
Ooh hiv haya madawa yanatengenezewa nini majani ganiHakuna unga mzuri.! But Cocaine ina afadhali, coz advantage yake moja wapo mtumiaji hapati addiction kwa haraka labda atumie miaka mingi.. Hii ndio itakuwa anatumia Vanessa (kama kweli anatumia) na Sepetunga..
Ila crack cocaine au heroin ukitumia mwezi tu imekula kwako, hutakuja kuiacha maishani!
Nchemba anafanya kazi gani jamani?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Diamond na group lake wanauza unga, ni suala la muda tu
Hii imwfukuliwa kwa manufaa ya watu wengine wenye nia ya kutumia madawaHii habari si ni ya mwaka jana? Tena january
Kwa hili magufuli amechemkahilo nafahamu vizuri wooden....na hata boss wao anaye wasponsa ktk biashara hii anafahamika vizuri...ni mtu mmoja mzito sana ktk jamii ya watz.acheni tu jamani.
Baba,mama wote watu wa ubuyu.ila wako ni wa kimataifa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duuuuhh aisee! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante malkia wa ubuyu..
Ujue huu unga daraja la kwanza ni Cocaine ile yenyewe pure.. Hawa akina Chidi Benz & Co wanatumia crack cocaine au heroin..
Cocaine inauzwa sh ngapi sasa hivi?Ila kwa kweli yani ukianza kutimia cocaine grade 1 ndani kama ya mwezi yani unahisis raha balaa hata mi pia nafikiri ni mtumiaji mjanja kwa mwezi mara mbili naacha kidogo kidogo.
Vanessa yupo hivyo miaka yote ,mwili wake kuwa vile isiwe eti ndio sababu ya kula madawa ,Nakupa Home work mkuu....jaribu kumchunguza Vanessa labda pengine ndio alivyo maana simjui sana in Personal ila mcheki sana alivyo mchangamfu alafu angalia kwa Elimu yake na urembo wake anastahili kuwa vile?!
Mkuu hapo naona chumvi imezidi,mtoto wa miaka 5 anajua mwanaume?[emoji15] [emoji15]Hali ya maisha mitaani katika mikoa mingi Tanzania ni mbaya sana!! Maadili yanashuka kwa kasi ya ajabu, wimbi la vijana mashoga sasa ni kama kimbunga, jamii inateketea mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 5 sasa anamjua mwanaume!! Binadamu now wanakula Unga kama nyoka tena hadharani mno (ndani ya club flani Dar nimeshuhudia watu wananusa meza) bila uwoga!Tunakoenda ni kubaya mno nadhani hata kuzimu ni pazuri!
Hawa wasanii ndio "ma-role model" wa mabinti zetu na vijana wetu hivyo kwa kiasi kikubwa ni lazima watacopy mengi tu (hata kama sio yote). Na siku hizi watu wazima wengi nao wanajifanya watoto wanaume kwa wanawake!! Inaogopesha mno!
Majani ya mmea unaitwa Coca! Kwa muonekano unafanana na mkahawa..Ooh hiv haya madawa yanatengenezewa nini majani gani
Hakuna kitu kama hicho, Vanessa hatumii...
DuuuuuMajani ya mmea unaitwa Coca! Kwa muonekano unafanana na mkahawa..
Kuna process zinafanyika hapo ili kupata ule urojo urojo wa ndani ya jani, then inachanganywa na dizeli na chumvi ya carbonate! Wanaifanyia process flani flani then inachanganywa na chokaa.. Alafu mwishoni inazimuliwa na Sulphuric acid.. Hapa unakuwa umepata pure cocaine
Ila hii wanayotumia akina chidi (crack cocaine) yenyewe wanachukua ile pure cocaine alafu wanaichanganya na baking powder (sodium bicarbonate) alafu wanaifanyia process flani flani alafu inagandishwa.. Ikiganda inakuwa kama vimawe mawe flani hivi.! That's why hii ya kina chidi huwezi kusniff.. Inabidi uiyeyushe kwenye glass au kijiko then ujidunge kwa sindano..
DON'T TRY THIS AT HOME [emoji23] [emoji23]
Sijazungumzia mwili wake mkuu punguza papara.Vanessa yupo hivyo miaka yote ,mwili wake kuwa vile isiwe eti ndio sababu ya kula madawa ,