Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Addiction ya dawa za kulevya ni ya kusikia tu kwenye story. Ni kifo kile. Na kama jamaa mmoja alivyosema ukipanda mnazi uani ukiwa mchanga unaweza kudanganya watu kuwa huna mnazi lakini mnazi utakua na kuipita nyumba kimo. Ukweli utajifunua tu.
 
Labda anatumia unga wa ugali sio ule unga wawakina Chid na Ray c
 
Mkuu umeniogopesha hila kwenye suala la madawa siwezi kumwekea mtu zamana mfano ferooz alimwimbia Daz baba kijana mteja naw yeye ni mteja vibaya mno

Sina uhakika na hili ila kuna ndugu yangu wa ukoo naye ni msanii wa fleva kaniambia kuwa wasanii wengi wa fleva ni watumiaji wazuri tu tena kuna wengine tukiwajuwa tutashangaa na kutoamini. Bongo fleva ni janga lingine la taifa.
 
Hakuna unga mzuri.! But Cocaine ina afadhali, coz advantage yake moja wapo mtumiaji hapati addiction kwa haraka labda atumie miaka mingi.. Hii ndio itakuwa anatumia Vanessa (kama kweli anatumia) na Sepetunga..

Ila crack cocaine au heroin ukitumia mwezi tu imekula kwako, hutakuja kuiacha maishani!
Ooh hiv haya madawa yanatengenezewa nini majani gani
 
Diamond na group lake wanauza unga, ni suala la muda tu
Nchemba anafanya kazi gani jamani?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
hilo nafahamu vizuri wooden....na hata boss wao anaye wasponsa ktk biashara hii anafahamika vizuri...ni mtu mmoja mzito sana ktk jamii ya watz.acheni tu jamani.
Kwa hili magufuli amechemka
 
Duuuuhh aisee! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asante malkia wa ubuyu..

Ujue huu unga daraja la kwanza ni Cocaine ile yenyewe pure.. Hawa akina Chidi Benz & Co wanatumia crack cocaine au heroin..
Baba,mama wote watu wa ubuyu.ila wako ni wa kimataifa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ila kwa kweli yani ukianza kutimia cocaine grade 1 ndani kama ya mwezi yani unahisis raha balaa hata mi pia nafikiri ni mtumiaji mjanja kwa mwezi mara mbili naacha kidogo kidogo.
Cocaine inauzwa sh ngapi sasa hivi?
 
Nakupa Home work mkuu....jaribu kumchunguza Vanessa labda pengine ndio alivyo maana simjui sana in Personal ila mcheki sana alivyo mchangamfu alafu angalia kwa Elimu yake na urembo wake anastahili kuwa vile?!
Vanessa yupo hivyo miaka yote ,mwili wake kuwa vile isiwe eti ndio sababu ya kula madawa ,
 
Hali ya maisha mitaani katika mikoa mingi Tanzania ni mbaya sana!! Maadili yanashuka kwa kasi ya ajabu, wimbi la vijana mashoga sasa ni kama kimbunga, jamii inateketea mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 5 sasa anamjua mwanaume!! Binadamu now wanakula Unga kama nyoka tena hadharani mno (ndani ya club flani Dar nimeshuhudia watu wananusa meza) bila uwoga!Tunakoenda ni kubaya mno nadhani hata kuzimu ni pazuri!

Hawa wasanii ndio "ma-role model" wa mabinti zetu na vijana wetu hivyo kwa kiasi kikubwa ni lazima watacopy mengi tu (hata kama sio yote). Na siku hizi watu wazima wengi nao wanajifanya watoto wanaume kwa wanawake!! Inaogopesha mno!
Mkuu hapo naona chumvi imezidi,mtoto wa miaka 5 anajua mwanaume?[emoji15] [emoji15]
 
Ooh hiv haya madawa yanatengenezewa nini majani gani
Majani ya mmea unaitwa Coca! Kwa muonekano unafanana na mkahawa..

Kuna process zinafanyika hapo ili kupata ule urojo urojo wa ndani ya jani, then inachanganywa na dizeli na chumvi ya carbonate! Wanaifanyia process flani flani then inachanganywa na chokaa.. Alafu mwishoni inazimuliwa na Sulphuric acid.. Hapa unakuwa umepata pure cocaine

Ila hii wanayotumia akina chidi (crack cocaine) yenyewe wanachukua ile pure cocaine alafu wanaichanganya na baking powder (sodium bicarbonate) alafu wanaifanyia process flani flani alafu inagandishwa.. Ikiganda inakuwa kama vimawe mawe flani hivi.! That's why hii ya kina chidi huwezi kusniff.. Inabidi uiyeyushe kwenye glass au kijiko then ujidunge kwa sindano..

DON'T TRY THIS AT HOME [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna kitu kama hicho, Vanessa hatumii...

sababu na ushahidi ni muhimu kwani kuna namna nyingi za kuthibitisha madai yako. malizia hizo three dots kwenye sentenso yako tafadhali
 
mimi siwafichi anaetumia dawa nikimwangalia tu hivi nishamjua!hata kwenye picha.
kuanzia ganja hadi sembe
 
Majani ya mmea unaitwa Coca! Kwa muonekano unafanana na mkahawa..

Kuna process zinafanyika hapo ili kupata ule urojo urojo wa ndani ya jani, then inachanganywa na dizeli na chumvi ya carbonate! Wanaifanyia process flani flani then inachanganywa na chokaa.. Alafu mwishoni inazimuliwa na Sulphuric acid.. Hapa unakuwa umepata pure cocaine

Ila hii wanayotumia akina chidi (crack cocaine) yenyewe wanachukua ile pure cocaine alafu wanaichanganya na baking powder (sodium bicarbonate) alafu wanaifanyia process flani flani alafu inagandishwa.. Ikiganda inakuwa kama vimawe mawe flani hivi.! That's why hii ya kina chidi huwezi kusniff.. Inabidi uiyeyushe kwenye glass au kijiko then ujidunge kwa sindano..

DON'T TRY THIS AT HOME [emoji23] [emoji23]
Duuuuu
 
Dahh... Sitaki kuamini lkn subiri tuone ni kama pembe LA ngombe halifichiki
 
Kwa ukali wa video za vannesaa muziki haumlipi kiasi hicho cha kutengeneza video za gharama hvyo
 
Vanessa yupo hivyo miaka yote ,mwili wake kuwa vile isiwe eti ndio sababu ya kula madawa ,
Sijazungumzia mwili wake mkuu punguza papara.

Nimezungumzia Tabia zake za uchangamfu uliopitiliza na sio mwili wake kuwa mwembamba.
 
Back
Top Bottom