goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
You are a living legend.Asante sana mkuu
Ukweli kuhusu huyu mdada kutumia hii kitu nimewahi kusikia muda sana nadhani zaidi ya mwaka.
Ila kwakuwa ana pesa anatumia ule wa daraja la juu ni ngumu kumgundua kwa sasa,akianza kufulia tu ndipo ukweli utakapodhihiri.
Mbona ni wengi tu?Hata Wema nae yupo ktk list,ni kiasi cha muda tu mkuu.
Jifunze kuweka akiba ya maneno.Hakuna kitu kama hicho, Vanessa hatumii...
Yametimia mkuu.Lisemwalo Lipo ngoja tuone mambo yatakavyokwenda Kwa Vanessa ila siaminiamini kabisa
I'm humbled [emoji4] [emoji120]You are a living legend.
Sasa vp tena mbona kaongezwa katika list??? inaonekana ulikua unamtetea kishabiki mtu ambae humjui hata chembe! au unamjua halafu unajaribu kujidanganya kwa kumtetea.Jamani yeye sio tester na wala hajawahi tumia. Na hilo mnalomuombea halitompata
Umefukunyua aiseeYametimia mkuu.
hahahaa...makonda alipitia huu uzi bila shakaUmefukunyua aisee
Inawezekana aiseehahahaa...makonda alipitia huu uzi bila shaka
akiimba mziki huwa nahisi ubongo wake umetulia. ila ukimuweka one to one interview, huwa sielewi kama ubongo wake upo mguuni au usoni. anasambaratika, anajifanya mmarekani, anajifanya amesoma kenya halafu anaongea kama mtu ambaye hana elimu kichwani kabisa, anajifanya yuko juuuuuuuu halafu hana point kabisa. hata kina dangote wasioenda shule huwa wanaongea mambo yenye akili na point sana, yeye hana point kama le mwiliz. alihojiwa siku moja na kituo cha tv kenya, anatia aibu tu, kwa umri wake haongei point, kama mlevi...ni kama mtu mwenye mapepeeeeeee na mwenye akili isiyotulia. hivyo hata kama havuti, hakika mimi wakisema anavuta hata kama sio kweli, ninaweza kuamini asilimia tisini. mapepe yale sio ya mtu mwenye akili ya kawaida....na kujifanya mmarekani. sijui hana washauri au ni pepe liko ndani yake hajipendei ? sijui ni nini? hatamanishi kusikiliza kabisa akiwa kwenye interview.
Jamii Forum huwa naiogopa sana mambo yanaanza humu kama utani ila baada ya muda matokeo yanaonekana ,
Yameshatimia mkuuJamii Forum huwa naiogopa sana mambo yanaanza humu kama utani ila baada ya muda matokeo yanaonekana ,
Jamani yeye sio tester na wala hajawahi tumia. Na hilo mnalomuombea halitompata
Wanao manage wasanii tanzania asilimia 80% wanawatumia kama punda kubeba mizigo so anaweza akawa hatumii ila anabeba nani alijua ngwea alikuwa anabeba si mpaka kimenuka,na ukibeba kunauwezekano wa kuonja hata ukiwa pekeyako hakuoni mtu.ila unga haujifichi tutajuaVanessa ninaye mjua hatumii..
Period
Mhh, mbona utabiri wako unaelekea kuwa ukweli??!Jamii Forum huwa naiogopa sana mambo yanaanza humu kama utani ila baada ya muda matokeo yanaonekana ,
Ben po alishauriwa ila alikuwa muoga nlibahatika kupata story kwamtu wake wa karibu akanambia analalamika anafanya mziki mzuri na unasikika ila mafanikio si kama wengine alivyofatilia akaambiwa mchongo sembe ila alikataa nahisi anajishauri ila anajua mchongo.tuwaangalie sana hawa wanao hiti maana naskia ukikataa dili ba mzik kushney.nilisikia na Ben paul pia ...naomba isiwe kweli